"Hii ni haki yake au ni udhalilishaji wa kijinsia?"

FA, huyo dada anaonekana bado ana hamaki ya kung'ang'ania kaptula ya mdeni wake. Vile polisi walishafika, angeweza kuvaa nguo na kutoka nayo. Inawezekana wakati picha hii inapigwa alishapitiliza kwenye kudhalilishwa na kufikia kwenye kujidhalilisha.
Kitu muhimu, kuwa provoked sio juu yako, lakini ni juu yako kujicompose baada ya kuwa provoked. I mean u ar responsible for ur every action. Ukimfumania mwenza ukamcheka na kuondoka zako then deal with whatever later, huoni kama utakuwa umemuweza haswaa?
Mama hajatembea bila nguo barabara, katembezwa bila nguo. Kadhalilishwa.
 
Tatizo mapongo wengi bado wanahitaji shule, Hapa hata kama mimi natumwa kukamata, siwezi kumtembeza barabarani namna hii, huu ni udhalilishaji!
 
Hii picha ni ya siku nyiiingi..ili tukio lilitokea Southern Sun hotel Dar jirani na International House...kati ya Changudoa na Mwarabu baada ya Changu kutoridhishwa na malipo na kupambana na Mwarabu akiwa mtupu...

Mkuu tuko pamoja hapa. Nafikiri ili tukio lilitokea mwaka jana na hii picha iliishaletwa hapa mara nyingi na kujadiliwa. Si kweli kwamba hilo lilikuwa ni fumanizi kama mleta hoja anavyotaka tuamini. Maelezo yako yako sahihi kabisa!!!

Tiba
 
Mmmh! yaani eti ie nifumaniwe
Afu wanitoe ndani hivyo???

Duh, jeck cheni atafufuka hata kama alishakufa.
Khah! mali yangu mwenyewe? matumizi yangu mwenyewe?
Mke wa mtu? mme wa mtu? Nilijua hayo yote, kama mwenza hataki na aniache nile raha zangu
Mwanamme mmoja!! kawa babangu huyo? Mwanamme mmoja anayenihusu ni baba tu, wengine woote ni replaceable
Mwanamke mmoja!! kawa mamangu huyo? Mwanamke mmoja anayenihusu ni mama tu, wengine wote nabadili nipendavyo
 
Kwa kweli napinga sana utaratibu huu. Hata kama huyu ni Changu, kuna ingine picha ya Kenya wanaonesha mwanamke na police officer wamefumaniwa alafu wakapigwa (why???) na picha zikatembea dunia nzima. Hapa majuzi kuna mtu aliweka picha za mwanaume na mwanamke guest. Mwanamke kajifunika sura kwa kutumia sketi lake, ila mwanaume anaonekana kabisa mwili mzima.
Hivi hii tabia ya kudhalilishana tutaacha lini jamani???
Kumbukeni Simone Gbagbo, alivo shikwa tu akakatwa nywele, akavuliwa nguo na picha zikawa mtandaoni. Gbagbo mwenyewe, Kadafi, Thomas Sankara na wengine wengi...
inasikitisha sana...
 
utamdhalilishaje mwenzio unapotoka nje ya ndoa?

Si wote wanaotoka nje ya ndoa/mahusiano wanajidhalilisha, kuwadhalilisha wenzi au hata wazazi wao. Kutoka nje ya ndoa ni maamuzi binafsi kama vile ambavyo mtu anaamua kuolewa au kuwa na uhusiano wa kimapenzi kwa ujumla.

Kusema kuwa ni kudhalilisha na sawa na kujibinafsisha ukubwani kwa mtu asiyejua unapotaka, asiyekuelewa na asitake kufanya bidii ya kukuelewa, anayetaka kukumiliki.

Inapofikia mtu anatoka nje ya mahusiano lazima ni kwa minajili ya self satisfaction na sio kujidhalilisha. Unless anayetoka nae amdhalilishe.


Kutegemeana na sababu ya kutoka nje
kweli kabisa, zamani nilikuwa nashangaa ila kuna watu kabisa unawaangalia unasema huyu kweli maji ya shingo yamemfikia
 
kadhalilishwa??? mbona nasikia alikuwa anamkimbiza mdeni wake.....
 
Hii picha ni ya siku nyiiingi..ili tukio lilitokea Southern Sun hotel Dar jirani na International House...kati ya Changudoa na Mwarabu baada ya Changu kutoridhishwa na malipo na kupambana na Mwarabu akiwa mtupu...

Thanks Mkuu. Nilipoitoa hii picha inaonekana then hawakujua. Nimewaomba Mods wamebadilisha title.
 
Back
Top Bottom