Hii ngumu ila inauma...

I agree na wale waliosema kuhusu aliye karibu,.but this thread has made me realise that,hata mwanaume akikuoa(co kua anakupenda kwa dhati)kwa wengi..especially wth the one who said mwanamke anachukuliwa tu..people are living wth their wives out of necessity but not love!asante!
 
wewe nawe, umeamua leo kutukumbusha chemshabongo za shule ya msingi!.kwangu mimi inategemea mama anamiaka mingapi? na mke ulimpata katika mazingila gani?mfano kama mke ulisafiri kwa waganga kibao ili akupe bahati ya kukupenda na mama anamiaka 100 au zaidi nikweli mke ndiye atakae okolewa vinginevyo mama ndiye atakae okolewa!.
 
Maswali mengine siyo ya kujibu ghafla ghafla tu unaweza hata kumkosea Muumba wako
 
I agree na wale waliosema kuhusu aliye karibu,.but this thread has made me realise that,hata mwanaume akikuoa(co kua anakupenda kwa dhati)kwa wengi..especially wth the one who said mwanamke anachukuliwa tu..people are living wth their wives out of necessity but not love!asante!
Ulikuwa hujui swthrt??!!!! Pole.
 
nitamuokoa mama, halafu nitaoa mwanamke mwingine. mama huwezi kumpata kokote.
I am clever eeeeeeh!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom