Hii ndoto ina tafsiri gani?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,814
15,096
Nimeota nipo nyumbani kwetu nimekaa na mpenzi wngu wa zamani na marehemu kaka yangu tunaongea kwa furaha huku tunacheka nini tafsiri yake?
 
Kwani ndo kusema we hujawahi kuota mpaka ushangae au uone ndoto kitu cha ajsbu kiasi hicho? Au lazima tu ulikuwa kwenye astral projection wewe
 
Washauri wako wote hawajui kitu wa hapo juu ndio maana wanakuponda na wala hawajajubu cha maana.
Kwa upande wangu sina data .
 
Nimeota nipo nyumbani kwetu nimekaa na mpenzi wngu wa zamani na marehemu kaka yangu tunaongea kwa furaha huku tunacheka nini tafsiri yake?

mpenzi wa zamani = past
marehemu kaka = past

tafsiri = umeota mambo ya past!!!!

kakako obviously mlipendana kama ndugu
mpenzi wa zamani obviously mlipitia good tymes kabla hamjaachana

kuota mnacheka tafsiri = umekumbuka nyakati zenu za furaha

General tafsiri = umeota nyakati za furaha ulizowahi kupitia ukiwa na kaka na ex-mpenzi

Do you need a PHD to know such a tafsiri?
 
Mambo ya ndoto yana details nyingi pia ayahiaji PHD yanahitaji attachment katika ulimwengu wa kiroho weather wa nuru au wa giza.
 
kwa mtu anayeamini kila ndoto ina maana sawa

kwa anayejua kuwa 95% ya ndoto ni mambo tuliyowaza kabla na yale yaliyo-accumulate kwenye memory zetu atakuwa na different opinion

Ndoto yenye maana na ainayohitaji tafsiri ni ile ambayo kwa njia flani Mungu anakufunulia kitu flani...otherwise ni just ndoto in its plain sense

mwanangu kila akinikwepa na kuangalia movie za kutisha basi tegemea usiku kucha atakuwa anaweweseka na kupiga kelele..it will be plain foolish kutafuta tafsiri ya ndoto zake

Sidhani kama ile ndoto ambayo Joseph alimtafsiria Farao ilikuwa ya kwanza katika maisha ya Farao!!!!!

Na nimekumbuka...usiku nimeota Chelsea inamsainisha Arturo Vidal...tafsiri tafadhali!!!!!!!
 
MImI napita tu

Twenzetu mkuu hawa naona wanatuzingua tuu

Kama kuota mi nishaota sana.... na sioni umuhimu wake
Wiki iliyopita niliota namgegeda Beyonce
Siku mbili badae nikaota nimenunua gari zuriii BMW 320
Jna nimeota nipo kwenye jumba la kifahari na swimming pool ndani

Leo nimeota nipo jalalani nachakurachakura kama kuku kujitaftia riziki sasa embu nambie uhalisia uko wapi hapo?
 
Ndio maana nikakwambia kuna ndoto za ulimwengu wa giza ambazo ni za shetani na za ulimwengu wa Nuru ambazo ni za Mungu.
Unapoota jambo jema na zuri inakupasa uamke na kuliombea jambo hilo litokee kweli kimwili.
Unapoota ndoto mbaya unaamka na kuvunja roho hiyo kwa damu ya Yesu.
Pia inakupasa kujua kuna ndoto za kawaida kabisa unajua kabisa this ndoto is bcoz ya kufikiria jambo na ndoto source yake haifahamiki na inaleta maana ambazo uzipatii jawabu.
Pia Mungu utuonesha mambo mengi kwa kupitia ndoto na evn njozi same applied to Pharao.Pia shetani amemcopy mambo mengi kutoka kwa Mungu pia utumia ndoto kukuonesha mambo yake.
Jaribu kujifunza vitu hacha kutumia fikra zako pekee.
 
blah blah blah...ndoto ni ndoto...poteza muda wako kuhangaikia ndoto utajikuta huna muda wa kuhangaikia reality...kama Mungu akinifunulia kitu kwenye ndoto (which He seldom does in this era) well and good..ila kama shetani akiamua kufanya lolote katika ndoto it is his own loss..akija katika reality..hapo ndo Mungu ataintervene

tatizo la mafundisho ya hawa modern preachers (ambao hawatofautiani sana na waganga wa kienyeji in this respect) ni kuwafanya watu wawe wanaspiritualize kila kitu...ukijikwaa unalifanya spiritual thing, umemistime ukachelewa usafiri, you make it spiritual...unaumwa..badala ya kwenda hospitali, you make it spiritual..what then is the use of senses that Jah Almighty granted us?

Nina wasiwasi muda si mrefu watu wataanza kusali.."God, if it is Your will for me to take a bath..Your will be done"!!!!

Napenda sana kutumia fikra zangu ndio maana nawashangaa watu wanaopenda kublow simple things out of proportion...kila kitu freemasons..basi likipinduka ni freemasos.. kanumba, wema, kikwete, jay z, rihanna, george bush, kaseja, lowassa, mengi, papa wa kanisa katoliki, maria nyerere...duh dunia nzima wote freemasons!!!!!
 
Twenzetu mkuu hawa naona wanatuzingua tuu

Kama kuota mi nishaota sana.... na sioni umuhimu wake
Wiki iliyopita niliota namgegeda Beyonce
Siku mbili badae nikaota nimenunua gari zuriii BMW 320
Jna nimeota nipo kwenye jumba la kifahari na swimming pool ndani

Leo nimeota nipo jalalani nachakurachakura kama kuku kujitaftia riziki sasa embu nambie uhalisia uko wapi hapo?

mkuu mimi mara kibao naota nimekufa!!!!
 
Back
Top Bottom