Hii ndoto ina tafsiri gani?

mpenzi wa zamani = past
marehemu kaka = past

tafsiri = umeota mambo ya past!!!!

kakako obviously mlipendana kama ndugu
mpenzi wa zamani obviously mlipitia good tymes kabla hamjaachana

kuota mnacheka tafsiri = umekumbuka nyakati zenu za furaha

General tafsiri = umeota nyakati za furaha ulizowahi kupitia ukiwa na kaka na ex-mpenzi

Do you need a PHD to know such a tafsiri?

Thread closed......
 
blah blah blah...ndoto ni ndoto...poteza muda wako kuhangaikia ndoto utajikuta huna muda wa kuhangaikia reality...kama Mungu akinifunulia kitu kwenye ndoto (which He seldom does in this era) well and good..ila kama shetani akiamua kufanya lolote katika ndoto it is his own loss..akija katika reality..hapo ndo Mungu ataintervene

tatizo la mafundisho ya hawa modern preachers (ambao hawatofautiani sana na waganga wa kienyeji in this respect) ni kuwafanya watu wawe wanaspiritualize kila kitu...ukijikwaa unalifanya spiritual thing, umemistime ukachelewa usafiri, you make it spiritual...unaumwa..badala ya kwenda hospitali, you make it spiritual..what then is the use of senses that Jah Almighty granted us?

Nina wasiwasi muda si mrefu watu wataanza kusali.."God, if it is Your will for me to take a bath..Your will be done"!!!!

Napenda sana kutumia fikra zangu ndio maana nawashangaa watu wanaopenda kublow simple things out of proportion...kila kitu freemasons..basi likipinduka ni freemasos.. kanumba, wema, kikwete, jay z, rihanna, george bush, kaseja, lowassa, mengi, papa wa kanisa katoliki, maria nyerere...duh dunia nzima wote freemasons!!!!!
Unaongea utoto ndugu,kumbe ubajua kwamba kuna spirital thing na mambo ya kimwili.
Kumbuka Bibilia inasema wanaoendeshwa na mwili si wake Mungu bala wanaondeshwa na Roho ndio.wake.
Kumbuka Mungu ametpa ufahamu na maarifa katika kutenda,kufikiri na kusema tofauti na wanyama so kuna mambo yapo normal kama hayo ulitaja like kuoga haitaji spirital.
Mambo yote ya maisha yetu uanzia katika ulimwegu wa Kiroho then yanapata tafsiri au kujidhihurisha katka ulimwengu wa kimwili.
Bibilia inasema Tumtumainie Bwana kwa kila jambo wala tusitumie akili zetu wenyewe.
Mitali 3.
 
spiritual things are there...to me ndoto kama kumuota marehemu ndugu na kumuota mpenzi wa zamani ain't no spiritual thing in any sense

maarifa aliyotupa Mungu ni pamoja na hayo ya kutomhusisha katika petty issues kama ndoto za kawaida

Usipotumia akili huwezi kumtumaini Mungu maana inahitaji akili kujua kuwa yatupasa kumtumainia yeye

God is not concerned with everything that takes place in our life but rather with those that are essential in shaping our destinies and our relationship with Him...ukiamua ndoto kama hiyo kuwa ina maana then allow me kusema nikiota nakula ugali na matembele nitafute tafsiri
 
Unaongea utoto ndugu,kumbe ubajua kwamba kuna spirital thing na mambo ya kimwili.
Kumbuka Bibilia inasema wanaoendeshwa na mwili si wake Mungu bala wanaondeshwa na Roho ndio.wake.
Kumbuka Mungu ametpa ufahamu na maarifa katika kutenda,kufikiri na kusema tofauti na wanyama so kuna mambo yapo normal kama hayo ulitaja like kuoga haitaji spirital.
Mambo yote ya maisha yetu uanzia katika ulimwegu wa Kiroho then yanapata tafsiri au kujidhihurisha katka ulimwengu wa kimwili.
Bibilia inasema Tumtumainie Bwana kwa kila jambo wala tusitumie akili zetu wenyewe.
Mitali 3.

show me something supernatural katika ndoto kama hiyo...natural things are dealt with senses God put into our nature..supernaturals needs God's help

take the course of your thinking utajikuta uanaahirisha safari kisa umejikwaa..it will be like "God is trying to show/tell me something"
 
Unaacha kuota Hela, Pesa, Chapaa, Mshiko, Mtwalo, Ngawira, Mapene, Dinari, Shekeli, Mabovu, Mapene, Money, Dolali we unaota wapenzi wa zamani? Shauri yako utakufa masikini dunia hii.
 
Nimeota nipo nyumbani kwetu nimekaa na mpenzi wngu wa zamani na marehemu kaka yangu tunaongea kwa furaha huku tunacheka nini tafsiri yake?

Kuna ndoto za aina 3
Zinazitokana na mawazo!

Zinazotokana na shetani

Zinazotoka kwa Mungukupitia roho (wake)mtakatifu....unaonyeshwa jambo linaloendelea kwny ulimwengu wa roho!!
Either baya au zuri! Kabla halijadhihirika kwenye ulimwengu wa mwili!

Kimsingi:chochote kinachotokea kwenye ulimwengu wa mwili lzm kianzie kwenye ulimwengu wa Roho!

Swali, hukuwawaza hao watu?
Manaake somtym unaweza kua umewafikiria weee,lzm uote tu!!
 
Ndio maana nikakwambia kuna ndoto za ulimwengu wa giza ambazo ni za shetani na za ulimwengu wa Nuru ambazo ni za Mungu.
Unapoota jambo jema na zuri inakupasa uamke na kuliombea jambo hilo litokee kweli kimwili.
Unapoota ndoto mbaya unaamka na kuvunja roho hiyo kwa damu ya Yesu.
Pia inakupasa kujua kuna ndoto za kawaida kabisa unajua kabisa this ndoto is bcoz ya kufikiria jambo na ndoto source yake haifahamiki na inaleta maana ambazo uzipatii jawabu.
Pia Mungu utuonesha mambo mengi kwa kupitia ndoto na evn njozi same applied to Pharao.Pia shetani amemcopy mambo mengi kutoka kwa Mungu pia utumia ndoto kukuonesha mambo yake.
Jaribu kujifunza vitu hacha kutumia fikra zako pekee.

Mkuu umekoment sawa kabisa ila watu wanataka kujaza server tu hapa.
 
blah blah blah...ndoto ni ndoto...poteza muda wako kuhangaikia ndoto utajikuta huna muda wa kuhangaikia reality...kama Mungu akinifunulia kitu kwenye ndoto (which He seldom does in this era) well and good..ila kama shetani akiamua kufanya lolote katika ndoto it is his own loss..akija katika reality..hapo ndo Mungu ataintervene

tatizo la mafundisho ya hawa modern preachers (ambao hawatofautiani sana na waganga wa kienyeji in this respect) ni kuwafanya watu wawe wanaspiritualize kila kitu...ukijikwaa unalifanya spiritual thing, umemistime ukachelewa usafiri, you make it spiritual...unaumwa..badala ya kwenda hospitali, you make it spiritual..what then is the use of senses that Jah Almighty granted us?

Nina wasiwasi muda si mrefu watu wataanza kusali.."God, if it is Your will for me to take a bath..Your will be done"!!!!

Napenda sana kutumia fikra zangu ndio maana nawashangaa watu wanaopenda kublow simple things out of proportion...kila kitu freemasons..basi likipinduka ni freemasos.. kanumba, wema, kikwete, jay z, rihanna, george bush, kaseja, lowassa, mengi, papa wa kanisa katoliki, maria nyerere...duh dunia nzima wote freemasons!!!!!

una hoja nzuri ila uko very poor kwenye kutafsiri wengine wameandika nini for that case unashindwa kurespond kwenye hoja husika.
 
nashukuru kwa maoni mkuu..ila general idea ni kuwa watu wanapenda kufanya kila kitu kuwa spiritual...na wamekuwa too absessed with the supernatural kiasi kwamba kila kitu kinakuwa blown out of proportion...ndio maana nikarefer kwenye issues kama freemasonry...karibu
 
blah blah blah...ndoto ni ndoto...poteza muda wako kuhangaikia ndoto utajikuta huna muda wa kuhangaikia reality...kama Mungu akinifunulia kitu kwenye ndoto (which He seldom does in this era) well and good..ila kama shetani akiamua kufanya lolote katika ndoto it is his own loss..akija katika reality..hapo ndo Mungu ataintervene

tatizo la mafundisho ya hawa modern preachers (ambao hawatofautiani sana na waganga wa kienyeji in this respect) ni kuwafanya watu wawe wanaspiritualize kila kitu...ukijikwaa unalifanya spiritual thing, umemistime ukachelewa usafiri, you make it spiritual...unaumwa..badala ya kwenda hospitali, you make it spiritual..what then is the use of senses that Jah Almighty granted us?

Nina wasiwasi muda si mrefu watu wataanza kusali.."God, if it is Your will for me to take a bath..Your will be done"!!!!

Napenda sana kutumia fikra zangu ndio maana nawashangaa watu wanaopenda kublow simple things out of proportion...kila kitu freemasons..basi likipinduka ni freemasos.. kanumba, wema, kikwete, jay z, rihanna, george bush, kaseja, lowassa, mengi, papa wa kanisa katoliki, maria nyerere...duh dunia nzima wote freemasons!!!!!

tatizo unaongea sana na tiyar una attitude kuhs kitu flan ni ngumu kujifunza ukiwa ivo...sasa freemason kajaje hapo...kwan wote uliowataja wakiwa frmsn ni ajabu.!!!! fanya utaratibu jifunze kusoma na kutafuta habari...information ni Nguvu.

ktk ndoto kuna kawaida(mambo tuliyoyawaza au kuyafanya ) na uwa kuna maono(aya utaonyeshwa kitu wala hujawah kukiwaza au penginr hata kukiona)...mara nyingi tu Kwenye biblia na vitabu vingine vya dini Mungu amekuwa akiwasiliana na kufikisha ujumbe wa jambo flan lijalo kwa watumishi wake, kupitia ndoto.....maono amboyo ni ains ya ndoto yanabeba taharifa kubwa sana.
ndoto uonyesha vitu ambavyo bado havijawa ktkt ulinwen gu wa mwili...
binafsi uwa nikiota kitu kibaya ma nisipokisalia kukiondoa basi kinatokea..na nikiota kitu kizuri uwa nakomaa kukiombea ili kitimie ktk ulimwengu wa mwili... kila kinachotokea uwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho then ndo huja ktk ulimwengu wa mwili...
iyo unayooita reality imeanzia kwenye ulimwengu roho....na ni rahis kupangua au kupanga ktk ulimwengu roho kuliko uliko ulimwengu wa mwili....ila sababu tumezoea kuwa matomaso tunasubiri hadi tuone kwenye ulimwengu wa mwili ndo tuanze kupambana akati tumeshaumia.
 
naona umeongea kidogo hapo..tatizo lako unadhani kila mtu analazimika kuamini unavyoamini wewe ndio maana badala ya kukubaliana kutofautiana wewe unakuja na criticism mstari wa kwanza tu...

Yeah, tayari nina msimamo (kama ndicho ulichomaanisha by "attitude") kuhusu kitu flani...kama na wewe ulivyokuwa nao tayari kuhusu hayo mambo yenu ya kufikirika..kama kujifunza nakushauri ujifunze kwangu.

na hiyo ya kwako binafsi ndo ya kufikirika zaidi...ni vitu vingapi vizuri umeota na kusali vikatokea kweli? be honest with yourself...na unaweza in all honest ukatuambia ni kitu gani kibaya ulikiota ukaacha kusali na kikakutokea?

Huu ulimwengu wa roho naona wengine mnautaja tuu lakini sidhani kama mnajua mnachokisema...na kama hizi ndoto zingekuwa na bearing katika maisha halisi basi duniani ingekuwa full commotion and chaos!!!!!
 
naona umeongea kidogo hapo..tatizo lako unadhani kila mtu analazimika kuamini unavyoamini wewe ndio maana badala ya kukubaliana kutofautiana wewe unakuja na criticism mstari wa kwanza tu...

Yeah, tayari nina msimamo (kama ndicho ulichomaanisha by "attitude") kuhusu kitu flani...kama na wewe ulivyokuwa nao tayari kuhusu hayo mambo yenu ya kufikirika..kama kujifunza nakushauri ujifunze kwangu.

Zama zinabadilika ndugu...habari ya maono ya ndogo kipindi hiki mnaforce tu....tuna vitabu na manabii na mafunzo ya kila aina...Mungu hana haja tena ya kutuotesha ili kutufunulia...na actually kuna tofauti kubwa kati ya maono na ndoto

na hiyo ya kwako binafsi ndo ya kufikirika zaidi...ni vitu vingapi vizuri umeota na kusali vikatokea kweli? be honest with yourself...na unaweza in all honest ukatuambia ni kitu gani kibaya ulikiota ukaacha kusali na kikakutokea?

Huu ulimwengu wa roho naona wengine mnautaja tuu lakini sidhani kama mnajua mnachokisema

ooooohooo nawewe umerudi kule kule kwa kitaka kila mtu aamini unavyojua wewe..
so huna msimamo ila unamtizamo/na hisia hasi....
zama zimebadilika kweli...na zinaendelea kubadilika na zote zipo kwenye vitabu wala hakuna jipya lisiloandikwa ktk yaliyopo sasa.

soma vitabu, google utaelewa tu...hata hao freemason wenyew utawaelewa tu...

tatizo huelezi unachokijua ila unacritize unaosema ndoto zina maana..
ili hata di la kubishana kuwa kuna aina ya ndoto ambazo ni taharifa flani unapewa...
AMINI UNACHOAMINI..ila usipinge anachoamini mwingine kwa unachokiamini wewe...umekiamini sababu umeona kimekusaidia na ameamini anachoona kimemsaidia...
khs upande wangu sina shaka na ninavyoota..kama tulovyosema zipo za kawaida na zipo zenye maana....hata kwenye ivo vitabu walikuwa! akiota bt kuna wakizoona hizi si ndoto tu bali ni taharifa na wakahitaji tafsiri.
 
Back
Top Bottom