Hii ndo ilomfanya Dena Amsi apigwe Ban?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Hata hivo hata mi sina hakika kama sivunji sheria kwa kupredict kuwa hii thread ambayo Dena alianika private msg hadharani ndiyo imemfanya apigwe ban.


Kama nakosea, nawaomba sana mods waninyweshe kikombe cha ban. I cant live without you JF.


Mnaikumbuka hii thread hapa chini? bila shaka wanasema kuwa ni kosa la jinai kuanika private msg...







Inaruhusiwa mtu kumtukana mwenzio kwenye PM??????

Tangu nijiunge na JF sijawahi kupata PM ya aina hii ndo maana nimeamua kuiweka hapa uvumilivu umenishinda

Kilichonisikitisha zaidi ni siku hiyo hiyo ndo kajiunga kaja na matusi


user-offline.png
Girlie Girlie
19th February 2011 06:26 PM

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 19th February 2011
Location : Dar
Posts : 43
Thanks14Thanked 5 Times in 4 Posts

Rep Power : 0


icon1.png
niache tafadhali
Huna akili pamoja upremium member wako. Ungekuwa na heshima ukaacha kunifatilia, endelea na maisha yako. I wish ningeweza kukublock milele!​
 
Hapana nakataa kabisaaaaa, haiwezi kuwa hiyo.
Lizzy kasema kitu cha msingi sana kule kwenye manung'uniko basi tuuuuuuuu!!!!
NI vizuri tukajua kwa nini mtu amepata Ban, kwa amani tuuuuuu!!!
 
Ni kweli Desidii hii sredi ni ya muda kidogo (sikumbuki siku) ndo apate hukumu leo, sidhani.
 
In anycase I wouldn't like what is deemed as a private message suddenly becoming public, so let's respect that, or just attack head on...
Backy backy....
Engineer
 
Akili yangu inagoma kukubaliana na hii sababu ..... c'mon guyz tupeni sababu yenye mashko
 
Hii ndio rule iliyom-BAN Dena

13. We reserve the right to ban any user temporarily or permanently, refuse posting from screen names we find offensive, edit or delete any post, limit postings on any topic, and shut down any topic altogether, for any reason, or no reason, without explanation or warning.
 
Hii ndio rule iliyom-BAN Dena <br />
<br />
<font face="Georgia"><font size="3"><font color="Navy">13. We reserve the right to ban any user temporarily or permanently, refuse posting from screen names we find offensive, edit or delete any post, limit postings on any topic, and shut down any topic altogether, for any reason, or no reason, without explanation or warning. color="

Nakataa kuamini
 
Kama amepigwa Bun lazima amevunja mojawapo ya sheria za JF:
Mods wanapenda wachangiaji Active kama huyu member, Sidhani kama wanaweza kumpa ban bila sababu.
ni vizuri tumepata habari kwamba amepewa ban.
sababu ya ban ni lazima awe amevunja mojawapo ya sheria, Sidhani kama kuna chuki binafsi au kaonewa.
Naona wengi tunalalamika kama huyu member ameonewa, Tunataka Mods watupe sababu then, tui judge hiyo sababu.
jamani, Sheria ni Sheria, haijalishi wewe ni member wa aina gani.
any way Mods hebu tendeni haki mtupe sababu, sio kwa huyu tu. na wengine wote mtakao wapa ban tupewa sababu.
 
Hii ndio rule iliyom-BAN Dena

13. We reserve the right to ban any user temporarily or permanently, refuse posting from screen names we find offensive, edit or delete any post, limit postings on any topic, and shut down any topic altogether, for any reason, or no reason, without explanation or warning.

Uandikaji wa hizi rules haukuwa shirikishi, zilipoandikwa idadi kubwa ya wanachama wa sasa hawakuwepo.
 
Nimewasiliana kwa simu na DA kwa nini kapewa bann akaniambia ameomba kwa sababu zake binafsi apumzike kidogo lakini hakuvunja sheria yoyote ile.
Huo ndio ukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom