Hii ndo faida ya kula sana

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Raha yake ni nini? CCM6.jpg
 
Jamani huyo si kwamba amekula sana.

Hilo tumbo anakabiliwa na utapiamlo.

Ndiyo maana wanaomba posho zaidi ili wapate chakula bora waondoe utapiamlo.

Watanzania muone dhiki inayowakumba wabunge wenu na mridhie nyingeza ya posho

hahaha!!!
 
Huyo hata ukimuacha na dem wako utamkuta salama,hilo li mwili na litumbo vimemeza zakari yote,haisimami tena.
 
Back
Top Bottom