Hii ndo faida ya kula sana

Wanawake ni wavumilivu sana,hapo mke angekuwa ndio ana huo mwili angeshatafutiwa mwenzake,ila mwanamke anavumilia tu hivyo hivyo.
 
Jamaa hapo alipo Ana mahawara kibao!
shangaa sasa kwamba anawato.mbaje!!
 
jamani sio kosa lake jeshini alibebwa kwa kuimba vizuri kwaya ndio madhara yake hayo tunakuwa na makapteni na vitambi kama viroba..ha ha ha ha ha
 
Wanawake ni wavumilivu sana,hapo mke angekuwa ndio ana huo mwili angeshatafutiwa mwenzake,ila mwanamke anavumilia tu hivyo hivyo.

Huyu mke lazima ana jamaa pembeni. Anavumilia kuishi na jamaa tu ili siku jamaa akizimika kwa presha mama apate mgao wake wa urithi.
 
Back
Top Bottom