Hii ndiyo moja ya sababu Wakenya wako dakika 5 mbele yetu

Sorry to bother you guys, I don't really think that Tanzanians are sick of anything. I'm just saying this because I really had a great time trading with them, in the past.

I think you dealt with excellent performers, who are actually very few. What is discussed here is the performance of the many.
 
It all breaks down to supply and demand in the marketplace, mzee. Jiulize kwa nini Mkenya aje Bongo kuanzisha kampuni ya Video Production. Obviously sababu kubwa itakuwa ni kwamba demand ya huduma hii Bongo imezidi supply (Relative to Kenya.) Sasa presuming hiyo ni kweli, basi usishangae Wabongo walio katika biashara hiyo wana luxury ya kuchagua project zenye mshiko mkubwa zaidi especially kama uliwatajia pesa mbuzi
 
You are right. Wabongo wako slow, angalia hata wanavyotembea barabarani, kama wanaumwa.

I love this one!!! thanks 3D, :) people we gotta change!!! they cant be louderer then they already are. Tuacheni uzembe, sisi ni wazembe, tusijiuze rahisi. but we better deliver too!
 
Interesting discussion.

Lakini mara nyingi hali huwa hivyo kwa mgeni anapoenda nchi nyingine kutafuta. Huwa anakuwa objective zaidi na mwene shauku ya maendeleo kuliko wenyeji wake.

Lakini pia ktk sura nyingine kama wadau wengine walivyosema,..mageuzi makubwa ya fikra yanahitajika miongoni mwa watz si tu ktk nyanja za sekta binafsi na biashara, bali ktk mambo mengi tu ya kijamii na kiuchumi.. zama zimebadilika na hatuwezi kuishi the past tena. Mambo ya uswahili, umbea, uvivu, kupoteza muda na mambo mengine ambayo ni kinyume na professionalism hayana nafasi tena ktk dunia ya leo..mambo ya kusubiria serikali ifanye hiki au kile yameisha expire, sasa hivi nguvu za soko ndio zinazoamua survival yetu, ambaye hataki kujifunza na kujiandaa kwa changamoto mpya, maisha yatazidi kumuwia ugumu yeye na vizazi vyake.
 
kweli
kastama care tz ipo 30yrs behind kenya:A S angry::A S angry:
S- say helo
H- heads up
O-offer related item
p- prepare for success
P-polite at all times
I-introduce add ons
E-every customer leaves happy

follow that and u'll be on top of ya bussiness
 
Nenda pia kwenye duka la mhindi then nenda duka la mswahili ujionee tofauti,la mswahili utakuta shopkeeper anacheza karata!
 
Jaman sisi tumezidi uvivu na uzembe tulilelewa kijamaajamaa mno tukidhan siasa za nyerere ni kugawana kila kitu na kusaidiana tena waswahili ndiyo wamezidi kabisa kama unabisha jaribu kutembelea hata bar na hotel ziliko karibu na wakenya kama Arusha halafu tembelea na Dsm. Utaona tofauti hata ya wahudumu na majibu yao na namna wanavyoheshimu kazi kadhalika hata mafundi ujenzi na vibarua utaona tofauti

Nakwa mtindo huu EAC. Tutakuwa watumwa tu na hasara ni kubwa kuliko faida HATA SITAKI KUISIKIA EAC. Hatujawa tayari
 
Kwani walikuwa busy walikuwa wanafanya kazi peke yao?
Maana ya kuwa na kampuni ni kwamba unatakiwa na watenda kazi, huwezi fanya kazi zote peke yako na ndio maana anakuwa busy manake anataka kazi zote afenye mwenyewe......That is not an excuse, a serious Manager who ever is anatakiwa kujua jinsi ya kugawa kazi zake...biahsra ni ngumu sidhani kama kila mtu anaweza kuachia hiyo opportunity just tu bse ur veryyyyy busy....May be hawakuwa na uwezo wa kudeliver vinavyotakikana, na kama uwezo hakuna si unarudisha majibu?Wabongo tuamkeni........
 
Pia, nilikwenda kwenye kampuni ambaye mkurugenzi wake ni mkenya. Kwanza attention aliyonipa huyo jamaa ilinitia moyo sana. Nilipokuwa namwelezea program yangu, jamaa alikuwa anathubutu mpaka kuchangia ideas zake (wabongo hawakufanya hivyo) ni vipi kampuni yake inavyoweza ku-shoot hii documentary kwa ufanisi wa hali ya juu. Jamaa akahidi kukutana na timu yake kesho yake, halafu tungeonana naye keshokutwa yake kwa majadiliano zaidi. Kesho yake asubuhi na mapema, mshikaji akanitumia sms kuniambia kuwa amepitia tena maelezo niliyompatia na kwamba amepata ideas nyingine mzuri za kuongezea. Na pia hakanihakikishia kuwa vifaa na uwezo wa ku-produce program yangu anavyo vya kutosha. Hakuishia hapo ! jioni yake akanipigia simu na kuniambia kuwa ameshajadili na timu yake, na kwamba tuonane siku inayofuatia saa 5 asubuhi kwa mazungumzo zaidi. Kwenye appointment yetu ya siku iliyofuatia, sio tu alizidi kunihakikishia kuwa anaweza kazi, bali pia alinionesha baadhi ya documentary walizowahi ku-shoot, na akaenda mbali zaidi kwa kunionesha vifaa vyote vya production alivyonavyo.

Chagua langu likawa rahisi !!!!
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Wabongo wenzangu !

Mchawi wetu ni nani – Wakenya au Sisi wenyewe?

Yaani mtu unapeleka kazi kwenye haya makampuni, lakini wao wanataka uwafukuzie kana kwamba unaenda kuomba kazi au msaada ! Kha gademu!![/QUOTE]


Nasukuru mkubwa kwa kuliona hilo.
Nduguyo nilipatwa na mkasa kama huo ktk kampuni moja ya IT ambayo mkurugenzi ni Mkenya na Sales Executive ni mbongo ,Huyo SE jamaa alinizungusha mpaka nikachoka kila nikwambia anipe cost analysis ya huduma yao ye ananituma vitu hata havieleweki,baada kama ya wiki 3 hivi nikapata reference toka kwa best yangu wa karibu kwamba yule msela ndo alivyo tabia yake mpaka umpe uhakika wa yeye kuishi kwanza. Nilichokifanya ni kuingia ktk web yao na kukuta hadi number za simu za MD wake ambaye ni Mkenya, nilimwandikia email tu jamaa akaja hewani(kapiga simu) nikamweleza ninachotaka akanielewa sasa akamuassign yule mbongo kazi yangu nilichokifanay ni kumforwardia all emails alizonitumia huyo mbongo haraka sana ili tusipoteze muda tena. Kifuatacho ITV jamaa kanimind kwanini nimetaka kumwaribia kibarua chake, me nikampa jibu moja tu BE PROFESSIONAL!
Sasa wajaameni kuna mchawi hapa,au ndo Mswahili akipata...?????????
 
I agree that the majority of Tanzanians are like that. Hospitality katika migahawa/ofisi zetu ni za viwango vya chini. At times, you wonder if these people really need ur money more than you need their service:A S angry:
 
a person is not going to leave his home country to go invest in another country and not be incredibly focused. i just think that kenyans are just more focused and proffesional in their job because that is the only reason they left their homeland.

if you would meet the same kenyan in kenya he might not give you the same proffessional treatment
 
Ni ukweli usiopingika watanzania atupo makini kabisa na kazi,pia atuna follow up kabisa,hii ipo mpaka serikalini.Tunafanya kukurupuka kurupuka tu.utakuta mtu amepewa siku 90 kusajili line ya simu atangoja mpaka bado siku moja ndo akurupuke.Customer care atujui kabisa-mifano ipo mingi tu ebu chukulia makampuni ya simu na huduma zao za internet,ni kampuni ipi ukipata tatizo la mfano modem ukapata jibu au msaada wa huakika and ontime?
Atuna mchawi,tunajiroga wenyewe
 
kweli mkuu wafanya biashara wengi bongo wamelala af hawajui kabisa kitu kinaitwa customer care....
 
wabongo si swala la mda halipo kabisa, hatuoni shida kurudisha mtu more than ten times, nenda rudi ye hampain kabisa
 
Back
Top Bottom