Hii ndiyo amani Wanayoihubiri CCM

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
1,583
2,696
Waibe kura na sisi tukubali kuibiwa ndo amani.Wazidi kutufanya maskini kwa kugawa bure raslimali zetu na sisi tusidai haki zetu wala tusihoji raslimali zetu zinaenda wapi ndo amani.

Lazima waingie ikulu hata kama watakuwa wameshindwa ndo maana magufuli ktk mikutano yote ya kampeni anawasihi wananchi kuichagua ccm maana wakichagua upinzani Tanzania itakuwa kama Libya,hapa anamaanisha kuwa ccm ikianguka haitakubali kukabidhi nchi kwa amani itatumia nguvu kuingia madarakani.Watu kubambikwa kesi za uongo na wasihoji ndo amani.Kuburuzwa kwa kila jambo hata kama halina maslahi kwa taifa ndo amani.

Kukubali kuwa maskini maisha yetu yote ndo amani.Kunyanyaswa na serikali ndo amani.Kuacha mafisadi wailifisi nchi kwa kuweka mapesa yetu ktk benk za ulaya ndo amani.Na mwisho CCM itawale milele hata kama wananchi hawaitaki kabisa na wameichoka ndo amani.Kama wananchi wanataka kuitoa CCM madarakani basi hapo ndo hakuna amani tena ni machafuko.

Hiyo ndo amani inayohubiriwa na CCM.
 
Hili neno Amani linatumiwa vibaya na wanasiasa wa Tanzania.Ni kama kichaka cha mafisadi wa Taifa hili.
 
hili neno "AMANI" hapa tanzania linatumiwa kwa vitisho vya kisaikologia,ni vitisho vinavyojengwa akilini mwa watanzania bila ya sisi kujua,,,,ukitajiwa amani maana yake usalimu amri na haki zako zote na uwaache mabwana wakufanye wanavyotaka na wewe utakuwa na amani,bila ya kujitambua na wewe unakubali

neno "AMAMI" kwa watanzania ni hypnotic power word watawala wakisema amani,akili za watanzania zinakuwa disabled right away and we are going into deep sleep for another 5 more years na watawala wanafanya wanavyotaka

mie nataka ku-quote usemi wa muimbaji bob marley " emancipate yourselves from mental slavery,none but your selves can free your minds"
 
Hili neno Amani linatumiwa vibaya na wanasiasa wa Tanzania.Ni kama kichaka cha mafisadi wa Taifa hili.
Nyuma ya microphone wanahubiri amani lakini hadharani wanafanya hivi !
 
Attachments

  • attachment-5.jpeg
    attachment-5.jpeg
    12 KB · Views: 551
  • attachment-2.jpeg
    attachment-2.jpeg
    4.4 KB · Views: 550
Waibe kura na sisi tukubali kuibiwa ndo amani.Wazidi kutufanya maskini kwa kugawa bure raslimali zetu na sisi tusidai haki zetu wala tusihoji raslimali zetu zinaenda wapi ndo amani.Lazima waingie ikulu hata kama watakuwa wameshindwa ndo maana magufuli ktk mikutano yote ya kampeni anawasihi wananchi kuichagua ccm maana wakichagua upinzani Tanzania itakuwa kama Libya,hapa anamaanisha kuwa ccm ikianguka haitakubali kukabidhi nchi kwa amani itatumia nguvu kuingia madarakani.Watu kubambikwa kesi za uongo na wasihoji ndo amani.Kuburuzwa kwa kila jambo hata kama halina maslahi kwa taifa ndo amani.Kukubali kuwa maskini maisha yetu yote ndo amani.Kunyanyaswa na serikali ndo amani.Kuacha mafisadi wailifisi nchi kwa kuweka mapesa yetu ktk benk za ulaya ndo amani.Na mwisho CCM itawale milele hata kama wananchi hawaitaki kabisa na wameichoka ndo amani.Kama wananchi wanataka kuitoa CCM madarakani basi hapo ndo hakuna amani tena ni machafuko.Hiyo ndo amani inayohubiriwa na CCM.

We mbwiga kweli! Mbowe anaposema mkakeshe kufanya mkusanyiko usio halali na msiogope vyombo vya dola maana yake ndio nini? Au ndio amani hiyo anayohubiri?
 
Tangu lini CCM wakaamini kwenye amani? Naomba nikae kimya nisije nikaharibu kila kitu
 
ndg hii haiwezekani kabisa, hatuwez kuchaguliwa rais na watu watano dodoma, tz hakuna amani, ni ujinga na upuuz wetu watz ila isingekuwa hivyo tungeshanyonga majizi kibao hapa, inawezakan vip watu wanaiba ela kwa magunia afu wanasema ni za mbona, hili linawezekana tanzania tu!
 
Amani ndo fimbo ya kuwapumbaza watanzania ilhali wao wananeemesha matumbo yao
 
We mbwiga kweli! Mbowe anaposema mkakeshe kufanya mkusanyiko usio halali na msiogope vyombo vya dola maana yake ndio nini? Au ndio amani hiyo anayohubiri?

kwenda weyeee mlipopiga kura xa maoni mlikaa kusubiri kutangaziwa alopita..... mlitumia kigezo gani???? hakuna atakayerudi home mpaka kieleweke nyie mafisiemu mrudi cye twalinda police hawatouwa wote hata ICC tutawapelekaaaaaaaaaa.... fisiemu rest in piece
 
ccm olewenu muibe kura tujue bora vita yakupigania haki kuliko amani hii inayo tujaza ujinga na kutupumbaza watanzania

Ndugu, unaijua kweli vita au unaisikia au kuiona kwenye tv?

Mwaka 1978/79 ulikuwa umezaliwa na kwenu ni Kagera?

Kama hiyo vita Mbowe, Lowassa, Nape, Magufuli na familia zao watakuwa mstari wa mbele basi waunge mkono. Lakini kama utatangulizwa mbele kama nyumbu, basi pole yao watoto wako na familia yako wanao kutegemea!
 
Back
Top Bottom