Hii ndio sababu Mbunge Joshua Nassari kubambikiwa kesi na Polisi

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,821
Matokeo serikali za mitaa Arumeru Mashariki 2014.

MAMLAKA YA MJI MDOGO USARIVER(JUMLA YA MITAA 9) CHADEMA 5 CCM 4.
Jumla ya vijiji 89,halali Uchaguzi ni 75,venye pingamizi na utata wa matokeo 14,CDM 34 na CCM 41.
Vitongoji jumla 308 vilivyofanya uchaguzi halali ni 268,venye pingamizi na utata wa matokeo 40,CDM 112, CCM 156.
Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vijiji vyote vilikuwa ni Vya CCM na vitongoji chadema tulikuwa na 7 tu.
Vilevile jimbo hili madiwani wote 23 ni wa ccm. Hakuna hata mmoja wa upinzani.
Pia watia nia wa ubunge kupitia ccm wote waliongoza kampeni.
Hivyo ccm ilikuwa na timu ya kutosha ya kampeni tofauti na chadema iliyoongozwa na Mbunge Nassari pekee.
Katibu wa chadema Meru.

DONDOO MUHIMU.

Kijiji cha Samaria Anakotoka katibu wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Langael Akyoo CHADEMA imeshinda kijiji na vitongoji vyote.
Kata ya na Kijiji anakotoka katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Aenea Kitomari CHADEMA imeshinda vijiji vyote vitatu an vitongoji vyote.
Kata ya maji ya chai anakotoka katibu wa fedha na uchumi wa ccm Wilaya Wakili Dr Daniel Pallangyo CHADEMA imeshinda vijiji vyote 7, kata hii Ina madiwani watatu wa ccm (diwani wa kata Ndg Loti Nnko, Frida Kaaya na Mambisse) na hapa pia anatoka Makamu mwenyekiti was halmashauri ya Meru Frida Kaaya.
Diwani wa kata hii pia aligombea uenyekiti wa kijiji cha Ngongongare na CHADEMA ikashinda kwa kishindo.
Kata ya Songoro anakotoka Mbunge wa Jimbo Mhe Joshua Nassari CHADEMA imeshinda vijiji vinne na ccm viwili.

Hakuna mahali alipochoma bendera ya CcM,Ndio maana hata polisi hawana ushahidi wa picha wala chochote.TUTAHESHIMIANA TU
 
mkuu watapambana lakini hawatashinda Nasari ameshadelete ccm huko kwa ujumla hakuna ccm Arusha maana hata Munguli wamechakachua
 
Kazi nzuri sana janjaro!

Hongera sana kwa kazi nzuri ya ujenzi wa chama
 
hongera sana kamanda Nasari Mungu azidi kukupa nguvu. Hongera CHADEMA
 
Wameru hakuna wanachojua zaidi yakukatana mapanga na kesi za mashamba
 
Laki Si Pesa. hujui Meru wala wameru kaa kimya, dozi ifanye kazi. Na mbado takula kwako tu. Sanda Kanna!!
 
Kwa Usomi wa Nassary, natilia shaka sana wasomi wa Tanzania.

Inakuwaje Graduate wa UDSM kama Joshua kufanya mambo ya kitoto hivi?
 
Kuwafungisha virago magamba bila kuwadelete? Ni kweli hata sisi tumesikitishwa tutampa onyo kwa hilo. Next time atafanya kama Tundu Lissu alivyofanya kwake.
 
Matokeo serikali za mitaa Arumeru Mashariki 2014.

MAMLAKA YA MJI MDOGO USARIVER(JUMLA YA MITAA 9) CHADEMA 5 CCM 4.
Jumla ya vijiji 89,halali Uchaguzi ni 75,venye pingamizi na utata wa matokeo 14,CDM 34 na CCM 41.
Vitongoji jumla 308 vilivyofanya uchaguzi halali ni 268,venye pingamizi na utata wa matokeo 40,CDM 112, CCM 156.
Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vijiji vyote vilikuwa ni Vya CCM na vitongoji chadema tulikuwa na 7 tu.
Vilevile jimbo hili madiwani wote 23 ni wa ccm. Hakuna hata mmoja wa upinzani.
Pia watia nia wa ubunge kupitia ccm wote waliongoza kampeni.
Hivyo ccm ilikuwa na timu ya kutosha ya kampeni tofauti na chadema iliyoongozwa na Mbunge Nassari pekee.
Katibu wa chadema Meru.

DONDOO MUHIMU.

Kijiji cha Samaria Anakotoka katibu wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Langael Akyoo CHADEMA imeshinda kijiji na vitongoji vyote.
Kata ya na Kijiji anakotoka katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Aenea Kitomari CHADEMA imeshinda vijiji vyote vitatu an vitongoji vyote.
Kata ya maji ya chai anakotoka katibu wa fedha na uchumi wa ccm Wilaya Wakili Dr Daniel Pallangyo CHADEMA imeshinda vijiji vyote 7, kata hii Ina madiwani watatu wa ccm (diwani wa kata Ndg Loti Nnko, Frida Kaaya na Mambisse) na hapa pia anatoka Makamu mwenyekiti was halmashauri ya Meru Frida Kaaya.
Diwani wa kata hii pia aligombea uenyekiti wa kijiji cha Ngongongare na CHADEMA ikashinda kwa kishindo.
Kata ya Songoro anakotoka Mbunge wa Jimbo Mhe Joshua Nassari CHADEMA imeshinda vijiji vinne na ccm viwili.

Hakuna mahali alipochoma bendera ya CcM,Ndio maana hata polisi hawana ushahidi wa picha wala chochote.TUTAHESHIMIANA TU

Yuko wapi Mmaranguoriginal alete paukwa pakawa? Hongera CDM hongereni Wameru mmezima mdomo wa mmaranguoriginal.
 
Sikia na huyu sijui katoka usingizini????CCM kwishney wewe bado upo upo tu!!!

Back
Top Bottom