Hii ndio raha ya kuwa kwenye mahusiano na Mwanamke uliyemzidi mambo haya

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Habari zenu wakuuu!
CCM oooyeee!!

Unajua juzi bana niligombana na shemeji yenu, ni binti tuu hajafikisha hata miaka 23, sasa tumegombana mimi nikapiga zangu kimya nayeye akajidai kama anakaza hataki kuomba poo.

Sasa uzalendo ukamshinda maji yakamfika shingoni, eti ananiita tuongee, nafika nakaa naona haongei cha maana mara eti anataka tuachane, mimi nikamwambia "sawa hamna shida tuachane tuu itakua vizuri sanaaa halafu nikaondoka zanguu!!"

Haikupita dakika 3 kaniita tena analia anaomba yaishe eti anaomba msamaha kwa yaliotokea, na anadai mimi ni mkubwa hata kiumri kwake so hakupaswa kufanya vile, mimi sikua na jinsi nikaona nim'bembeleze tuu yaishe maana vilio vilikua vingi utadhani kuna msiba.

Sasa nikakaa nikafikiria kua kwa sisi wanaume kuna vitu unatakiwa umzidi mwanamke utakaekua nae :-

1. ELIMU
2. UMRI
3.PESA

.......................

ELIMU - Yani hii ni muhimu sana, wanawake wengi ukiwa nae akawa amekuzidi kielimu aisee utapata tabu sana, yani yeye ndio atakua Msemaji mkuu wa mahusiano/Familia yenu, maana hata ukiongea kitu yeye akili yake itamtuma "Huyu nae anaongea nini wakati Elimu hana!!" Hapo utakua unaendeshwa tuu kama Punda

UMRI - Mwanamke ukimzidi umri kuna kua na adabu fulani hivi, maana anahisi wewe una busara kwakua umeona mengi!! Kwamfano wangu mimi tukiamka asubuhi utaskia "Shkamooo baby!" Yani ni raha tuu

PESA - hapa ndio kwenyewe sasa, mwanamke akishakuzidi Pesa, andika maumivu, Sasa ndio awe amekuzidi PESA, ELIMU na UMRI aisee utaomba ardhi ipasuke uingie huko utulie zako, maana UTAPATA TABU SANA! kwa mfano mimi kama nilivyosema hapo juu hata tukigombana lazima ajishushe maana anajua BOSS leo kanunua mambo hayataenda.

Nmemzidi UMRI, ELIMU, PESA
naenjoy sana.

Usipofuata ushauri huu UTAPATA TABU SANA.
 
kirefu cha DFPA ni nn
na kirefu cha STL ni nini

kwasababu kirefu cha SU ni shirika la umma na SM ni serikali za mitaa

TUANZIE HAPO MLETA UZI
 
Back
Top Bottom