hii ndio picha yangu kama nilivyohaidi kuiweka wik hii

Mashallaaah allah ibbarik u lo0k gud na body inalipa hahaaa.. Uza nyagoo
 
Sisi wajukuu wa Pinda...tunaogopa kuweka zetu maana..systerm inaweza ikagoma...image undefined
 
daaaah my mdogo sio wivu huo looohhh mwenzio asiusifie uumbaji wa Mungu??????????
Hongera kwa wale wote msiokuwa na wivu kwa wenzi wenu wakiongozwa na wewe. Bila shaka hata ukimuona shemeji anamtolea macho au kumtamani msichana mkiwa matembezini hutaona tabu yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom