Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 5,443
- 9,416
We jamaa upo kwenye playlist yangu.. hiyo Ngoma ya bye bye Pancho aliua Sana. Dah Mungu amlaze pemaKibongo bongo:
Professional ya Fod Q
Propaganda ya Fid Q
Playboy ya Nikki Mbishi
Daresalaam stand up ya Chidi Benz
Ukisikia paah (remix) ya JCB
Classic ya One, nikki na Stereo
Byebye ya Joh Makini
Hawatuwezi ya Nako2Nako