Mkuu, heading na contecnt ya ujumbe wako haviendani, nenda kajipange, after all sio lazima uanzishe thread...
Ah we vipi? Heading:Hi ndio..........halafu Ndani:Najitokeza kuuliza.................Jaribu kusoma kitabu cha common nonsense in Kiswahili.Waheshimiwa wana 'Athens'
Ninajitokeza kuuliza tangu vita ya ufisadi ianze ni kesi ngapi zimekatwa na watuhumiwa kufilisiwa? Kama hakuna what is the future of this country? Nawasilisha
Mnaboa sana nyie wadandia treni,we kama hujui kitu nyamaza,kuna wengine wanajua watamjibu ,msigeuze apa kijiwe cha ma dovoo wa kiswazi,
Angalia wenzio wanafanyaje kwanza
Mjibu basi kama alikuwa anauliza! Siyo anasema ngoja nkwambie halafu anakuuliza ww, nawe chombo kisicho na makali!
jamani mbona watoa hoja mnakua wakali hivi? So far hakuna hata moja kama zipo nijulsiheni! Hii inaonyesha hakuna matumaini mpaka 2015 ambapo cdm itachukua ikulu!waheshimiwa wana 'athens'
ninajitokeza kuuliza tangu vita ya ufisadi ianze ni kesi ngapi zimekatwa na watuhumiwa kufilisiwa? Kama hakuna what is the future of this country? Nawasilisha