Huku sasa ndio kumchanganya Mungu huku.habari za asubuhi wana jf,nikiwa maeneo ya ubungo ghafla bini vuu linanyesha bonge la mvua,tumuombe mungu isizidi na kuleta mafuriko
Kwani mungu ndiyo anatengeneza mvua?habari za asubuhi wana JF!
Mm sikatai isinyeshe ila tumuombe Mungu atujalie inyeshe mvua ya kawaida isiwe na madhara kama yaliyopita.
Eee mwenyezi Mungu Tusaidie.
Hama kutoka huko bondeni, si umepewa uwanja Mabwepande? Tunaomba mvua inyeshe ili mabwawa yakuzalisha umeme yajae maji bei ya umeme ipungue.
habari za asubuhi wana JF!
Mm sikatai isinyeshe ila tumuombe Mungu atujalie inyeshe mvua ya kawaida isiwe na madhara kama yaliyopita.
Eee mwenyezi Mungu Tusaidie.