Hii mialiko ya futari inafikirisha. Sasa imeshakuwa trend!

meghan markle

JF-Expert Member
May 22, 2018
483
1,166
Hi tabia ya kualikana futari ni ya muda mrefu na ni jambo jema kama linafanywa kwa kuzingatia misingi bora iliyowekwa.

Essence ya kualikana futari ni kushare na wale wasio na uwezo wa kupata hiyo futari lakini trend iliyopo ni kualikana wenye nazo kwa wenye nazo. Kwa kweli inafikirisha.

Kualika wasanii nyumba kubwa ilikuwa ina maana gani? Sio tu kwamba wengi wanamudu kupata futari ila wengine ni Wakristo sasa inamaana gani? Ama justification ya kufanya hivyo ni nini labda? Maana ukiwaza sana hakuna labda maandalizi ya 2025?

Au hata bora ingekuwa ni kwa ajili ya fund raising kwa ajili ya kufuturisha wasiojiweza ila sio kiukweli inafikirisha. Haya juzi kuna Wizara imefuturisha staff wake na viongozi, what for? Spending money on people who have money?

Kuna watu wasiojiweza I’m sure hawahitaji hata hizo futari za anasa yaani wao ukiwapa tambi, maharage na mihogo chai na uji wanashukuru zaidi ya hao mnaopeana ma buffet!

Wabunge, Mawaziri na you know who, it’s the small things that count, hawa maskini mnaowageuzia migongo sasa hivi si ndio hawa hawa a couple of months ahead mtaenda kuwahadaa na kanga na Tshirt wawape kura 2025?

Mtajitetea kuwa mnatoa sadaka hamsemi ila kwanini hizi mnazoalikana tunaziona tena mnaita waandishi?

Nimeona nyingine tena eti wameitana kufuturu ili wachangishane hela kwa ajili ya wasiojiweza, ko muitane mlee, mvimbiwe, mabaki muwape maskini? Yaani nyie mfanye big events in big venues ili kesho muonekane mnawapa watu kiroba cha tambi na maharage baada ya nyie kufuturu kwa anasa?

Hebu badilikeni bwana maana imeshakua trend sasa. Ya’ll can do better than that na mnajua it doesn’t please God. Sadaka safi ni ile ya kuwapa maskini, yatima na wajane sio kutoa mfuko wa kushoto na kuhamisha wa kulia.

Kwa sie wenye experience za kuishi na kufanya kazi vijijini, unakuta familia imefunga jioni wanafuturu ugali na dagaa au mihogo ya kuchemsha na uji na wanashukru Mungu kwamba angalau wamepata, ila ukija kwa viongozi wao wana kazi ya kualikana leo kwa huyu kesho kwa yule.

Mashekhe ndio usisema, Ramadhani nzima yeye kila siku anabadili kanzu tu mialiko haiishi lakini wanasahau maskini wasiokuwa hata na uhakika wa futari.

Jamani eeeeeh badilikeni!
 
Hi practice ya kualikana futari ni ya muda mrefu na ni jambo jema kama linafanywa kwa kuzingatia misingi bora iliyowekwa.
Essence ya kualikana futari ni kushare na wale wasio na uwezo wa kupata hiyo futari lakini trend iliyopo ni kualikana wenye nazo kwa wenye nazo. Kwa kweli inafikirisha….
Kualika wasanii nyumba kubwa ilikua ina maana gani? Sio tu kwamba wengi wanamudu kupata futari ila wengine ni Wakristo sasa inamaana gani? Ama justification ya kufanya hivyo ni nini labda? Maana ukiwaza sana hakuna labda maandalizi ya 2025??!!
Au hata bora ingekua ni kwa ajili ya fund raising kwa ajili ya kufuturisha wasiojiweza ila sio kiukweli inafikirisha.
Haya juzi kuna Wizara imefuturisha staff wake na viongozi…what for??? Spending money on people who have money????!!!
Kuna watu wasiojiweza I’m sure hawahitaji hata hizo futari za anasa yani wao ukiwapa tambi,maharage na mihogo chai na uji wanashukuru zaidi ya hao mnaopeana ma buffet!
Wabunge,Mawaziri na you know who…it’s the small things that count hawa maskini mnaowageuzia migongo saivi si ndio hawa hawa a couple of months ahead mtaenda kuwahadaa na kanga na Tshirt wawape kura 2025??
Mtajitetea kua mnatoa sadaka hamsemi ila kwanini hizi mnazoalikana tunaziona tena mnaita waandishi?
Nimeona nyingine tena eti wameitana kufuturu ili wachangishane hela kwa ajili ya wasiojiweza….ko muitane mlee mvimbiwe mabaki muwape maskini? Yani nyie mfanye big events in big venues ili kesho muonekane mnawapa watu kiroba cha tambi na maharage baada ya nyie kufuturu kwa anasa?
Hebu badilikeni bwana maana ishakua trend sasa. Ya’ll can do better than that na mnajua it doesn’t please God..sadaka safi ni ile ya kuwapa maskini, yatima na wajane sio kutoa mfuko wa kushoto na kuhamisha wa kulia.
Kwa sie wenye experience zak kuishi na kufanya kazi vijijini unakuta familia imefunga jioni wanafuturu ugali na dagaa au mihogo ya kuchemsha na uji na wanashukru Mungu kwamba angalau wamepata…ila ukija kwa viongozi wao wanakazi ya kualikana leo kwa huyu kesho kwa Yule. Mashekhe ndio usisema Ramadhani nzima yeye kila siku anabadili kanzu tu mialiko haiishi lakini wanasahau maskini wasio kua hata na uhakika wa futari….Jamani eeeeeh badilikeni
kufuturisha ni sales and marketing na kuomba kura pia
wewe endelea na misimamo na uelewa wa zamani
 
Huwa nashangaa eti Diamond and the likes wanaalikwa Ikulu kufuturu? Huu ni ujinga wa aina gani?

Kuna familia ngapi masikini zisizoweza hata kufunga na zingetamani kifunga ila iftar ndio mtihani?

Huu unafki ma Iman,, masheikh waukemee kwenye nyumba za ibada. Tumefikia pabaya sana.
 
Hao mashekhe wakemee saa ngapi wakati Ramadhani matajiri wanawajazia viroba bay sukari,tambi na mazagazaga huwezi kuta sheikh anaspend hela yake kipindi huku a bado kila siku anamualiko mpya…awakemee akose pakula??
 
Hi tabia ya kualikana futari ni ya muda mrefu na ni jambo jema kama linafanywa kwa kuzingatia misingi bora iliyowekwa.

Essence ya kualikana futari ni kushare na wale wasio na uwezo wa kupata hiyo futari lakini trend iliyopo ni kualikana wenye nazo kwa wenye nazo. Kwa kweli inafikirisha.

Kualika wasanii nyumba kubwa ilikuwa ina maana gani? Sio tu kwamba wengi wanamudu kupata futari ila wengine ni Wakristo sasa inamaana gani? Ama justification ya kufanya hivyo ni nini labda? Maana ukiwaza sana hakuna labda maandalizi ya 2025?

Au hata bora ingekuwa ni kwa ajili ya fund raising kwa ajili ya kufuturisha wasiojiweza ila sio kiukweli inafikirisha. Haya juzi kuna Wizara imefuturisha staff wake na viongozi, what for? Spending money on people who have money?

Kuna watu wasiojiweza I’m sure hawahitaji hata hizo futari za anasa yaani wao ukiwapa tambi, maharage na mihogo chai na uji wanashukuru zaidi ya hao mnaopeana ma buffet!

Wabunge, Mawaziri na you know who, it’s the small things that count, hawa maskini mnaowageuzia migongo sasa hivi si ndio hawa hawa a couple of months ahead mtaenda kuwahadaa na kanga na Tshirt wawape kura 2025?

Mtajitetea kuwa mnatoa sadaka hamsemi ila kwanini hizi mnazoalikana tunaziona tena mnaita waandishi?

Nimeona nyingine tena eti wameitana kufuturu ili wachangishane hela kwa ajili ya wasiojiweza, ko muitane mlee, mvimbiwe, mabaki muwape maskini? Yaani nyie mfanye big events in big venues ili kesho muonekane mnawapa watu kiroba cha tambi na maharage baada ya nyie kufuturu kwa anasa?

Hebu badilikeni bwana maana imeshakua trend sasa. Ya’ll can do better than that na mnajua it doesn’t please God. Sadaka safi ni ile ya kuwapa maskini, yatima na wajane sio kutoa mfuko wa kushoto na kuhamisha wa kulia.

Kwa sie wenye experience za kuishi na kufanya kazi vijijini, unakuta familia imefunga jioni wanafuturu ugali na dagaa au mihogo ya kuchemsha na uji na wanashukru Mungu kwamba angalau wamepata, ila ukija kwa viongozi wao wana kazi ya kualikana leo kwa huyu kesho kwa yule.

Mashekhe ndio usisema, Ramadhani nzima yeye kila siku anabadili kanzu tu mialiko haiishi lakini wanasahau maskini wasiokuwa hata na uhakika wa futari.

Jamani eeeeeh badilikeni!
Hakika umesema kweli .
Dini yetu imeshaelekeza kila kitu vipi jambo hilo lifanyike,
Allahu A'alam kama hao watu wanakusudia dini.
Japokuwa hutokea mara nyingine cycle yako ukawa unajuana na watu wenye nazo tu lakin sina hakika pia kuwe kwenye cycle yako hakuna Mtu asiyefahamiana na Wahitaji
 
Kikawaida futari haialikwi.

Zamani tulikua tunatandika nje Kariakoo tunafuturu, anaepita anakaa na yeye anafuturu, hakuna kualikana.
Hapana si kawaida.

Inafaa kuwaalika na wameyafanya hayo hata wanachuoni wa Kiswahaba.
 
Kualika wasanii nyumba kubwa ilikuwa ina maana gani? Sio tu kwamba wengi wanamudu kupata futari ila wengine ni Wakristo sasa inamaana gani? Ama justification ya kufanya hivyo ni nini labda? Maana ukiwaza sana hakuna labda maandalizi ya 2025?

Kwa hiyo sisi sio wanadamu?? mnapokuja kwenye halfa zakikikristo mnakujaga kufanyaga nini?? Simkae misikitini? Sherehe zetu mnaalikwagwa kwa nguvu ili iweje??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom