Hii mada ni kwa ajili ya wanaume tu, njooni tujadili

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Hello . . .
Kama mnavyojua aisee , Wanaume tunayo majukumu mengi sana katika kipindi hiki cha sikukuu inafika kipindi kichwa kinauma hadi unatamani siku zipite fasta. All in all huwezi kukwepa majukumu inabidi tupambane kwa hali na mali ili wake zetu, watoto zetu na familia zetu kwa ujumla zipate kufurahia kipindi hiki.
In general leo wanaume ambao tuna majukumu tuongelee vitu vifuatavyo:
1. Ni maduka gani mazuri kuwanunulia wapenzi wetu na maybe watoto vitu vizuri ikiwemo nguo viatu na kadhalika. Ingependeza zaidi yale maduka ambayo yana unafuu kidogo siunajua lazima twende na bajeti
2. Wapi kwa kuwatoa wapenzi wetu out sehemu ambayo kidogo pana utulivu na munaweza mkaenjoy vizuri, namanisha sehemu hizo ziwe na huduma mzuri kusiwe na fujo wala makelele sana
3. Kwa wale ambao wana manzi zaidi ya mmoja Ikiwezekana tufahamishane mbinu za kuwafanya wote wafurahi. Hapa namanisha mbinu gani za kutumia ili wote ule nao hizi sikukuu pasipo kugundulika
NB: huu uzi ni kwa ajili ya wanaume na sio wavulana kama unajijua hauna majukumu yeyote unakula kwa Shemeji ni heri ukae kimya tu uchungulie komenti kimyakimya
 
Back
Top Bottom