HII Kitu Hii Kitu HIIII

Sometimes iko ngumu kama big g mpya,
some times soft kama Big g iliyoliwa hadi kuisha utamu.
Ukiikubali inakupa raha ikikuvamia inakuumiza,
hii kitu ni tamu hadi watu wanajiua kwa kuona imeenda kwa wengine.
hii kitu ni soo bwana.

Hii kitu inakutu,lainisha kwa mafuta,
Sijitie utukutu,tusije chimba matuta,
bila buti sithubutu,yasije yakakukuta,
yalomkuta Mobutu,ardhini akakita
 
Hii kitu si chuma,ngeshaliwa na kutu,
haifanani na nyama,imtoe denda mtu,
sio wali wala sima,kuitaja sithubutu,
ina asili ya unyama,weza kupa utukutu,

Hii kitu inakutu,lainisha kwa mafuta,
Sijitie utukutu,tusije chimba matuta,
bila buti sithubutu,yasije yakakukuta,
yalomkuta Mobutu,ardhini akakita

Ndimi mvuvi halisi, Kila mvuvi analijuwa
Nivuwaye mikambisi, na papa wenye khatuwa
Wala sivui vingisi, mishipi huisumbuwa
Nimekwambiya elewa


Na nivuapo malema, huingia ndani ndani
Maji yangu ni ya pima, thalatha u thalathini
Na ndiyo ninayozama, lema nalibwaga tini
Uliza mimi n'nani?






 
Back
Top Bottom