Hivi unaweza jaza maji kwenye ndoo iliyotoboka??? nadhani ili ndoo ijae maji ziba kwanza tundu, uvuvi haramu na uuzaji mifugo holela umechangia kiasi gani kwenye pato la nchi?? zaidi ya uharibifu..Kuna Mtu mmoja kila kukicha anahangaika na Operesheni mara Sangara, Jana nimesikia nyingine kwa jina la Kisukuma, inalenga kuzuia ngombe wasitoke chini kwenda nje ya nch au kuingia bila vibali. Lakini sijawahi kusikia plani zake za kupanua soko halali la nje ya nchi. Nahisi kuna mdororo wa soko la mifugo unanukia hasa baada ya walengwa kupokwa mitaji kwa ajili ya faini!