Slaa ametoka kutuharibia, na wewe tena mwenzetu kabisa unataka utudhalilishe...hatukubali, bora udhalilike wewe!
Ukiona mtu mzima hajajichomoa pamoja na anavyotendwa na wakubwa zake ujue naye si msafi anaogopa watamchungulia.
huyu mtoto wa mkulima ni mnafki sijawahi ona anajipendekeza kwa wananchi hana lolote magufuli was right
JK+MPKP wanataka kuhalalisha majengo yao waiyoyajenga katika maeneo yasiyistahili.