Hii Kali: "Fikiria Ikulu ya Magogoni inavamiwa na Rais anapewa Kichapo"

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Mali-3-May-2012.jpg


Mali-waandamanaji-Ikulu-1.jpg



Mali-2-May-2012.jpg


Hapo ni Ikulu ya Mali, Wananchi wenye Hasira walivamia Ikulu ya Mali wakampa kipondo Rais wa muda Bw.Diancounda Traore, imetokea juzi ambapo ilikuwa kama mzaha vile na walinzi wa Ikulu walikuwa wanatizama tu.
...Duh hii kali.....
 
Mh sheshe!

Hawa mbona wengi ni vijana ?

Milipuko ya shule za kata
 
Unajua mwanzo nilidhani utani!
Itakuwa nchi iko kwenye hali tete kisiasa!
 
cha ajabu hamna ahat ammoj amwenye silaha.............walinzi wake wana kesi ya kujibu
 
Mimi ningekimbilia chumbani kwake nichukue viwalo vyake anvyo hongwa na waarabu.
 
Back
Top Bottom