Hii interview ya Rightway Primary school inatesa watoto

gabatha

Senior Member
Apr 6, 2012
127
52
Leo ni siku ya interview hapa Rightway Nursery and Primary school, Mbezi .
Haiwezekani mtoto wa lower primary school(std 1-3) afanye mtihani kuanzia saa 2 Asbh mpk saa 7 mchana . Mtoto anatahiniwa masomo 4 .Wakati zamani kwenda form one unatahiniwa masomo 2 tu, Hesabu na Kiingereza.
Naomba wizara ya Elimu ifatilie hili Jambo. Yaonekana hIzi english medium schools haziratibiwi ipasavyo.
 
Inaonekana levels zako ni msisiri A

Yeah ni kweli kabisa inabidi kufatiliwa nilihamisha watoto toka mkoa fulani kuwaleta mkoa nilipo kikazi std 5 na 3 English M school walikotoka walikuwa best kuwaleta hapa wakapewa interview masaa kumi.Matokeo walipata chini ya average nikaambiwa hawataruhusiwa kupanda darasa au niwapeleke shule nyingine.
Ilimbidi nimbembeleze director kwa masharti ya kujicommit kwa barua make nilikuwa nawajua wanangu wapo vizuri,mtihani wa kwanza tu wakaanza kuwapelekesha wenyeji kwa average za juu.So hizi interviews zina kasoro sana shule zinatafuta kujiongezea kipato imagine ulipe 2m kwa mwaka and then mtoto arudie darasa kisa underaverage za usaili
 
We bibie sasa ulitaka wapewe mtihani mmoja? Kama wamepewa masomo manne na hayo masaa manne inamaana kila somo watumie lisaa limoja kufanya.

Rightway ni shule nzuri sana na ni adimu kupata chance pale kwa jinsi ninavyojua. Mimi hoja yako uliyotoa hapa naona haina mashiko kabisa, jipange.
 
Mbona shule nyingi mkuu? Kwani lazima aende hapo? Fungua shule yako yenye somo moja basi
Hehehehe Mkuu umenifurahisha na jibu lako. Hawa watu wengine wanakuaga wagumu kufikiri sasa sijui altaka mwanae apewe interview ya dakika moja na somo moja ndo aridhike. :)
 
Mawaziri Ninaowateua Wameshindwa Kufikiria Nje Ya Box
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
😁😂😀😅😄😄😃😃
 
Yeah ni kweli kabisa inabidi kufatiliwa nilihamisha watoto toka mkoa fulani kuwaleta mkoa nilipo kikazi std 5 na 3 English M school walikotoka walikuwa best kuwaleta hapa wakapewa interview masaa kumi.Matokeo walipata chini ya average nikaambiwa hawataruhusiwa kupanda darasa au niwapeleke shule nyingine.
Ilimbidi nimbembeleze director kwa masharti ya kujicommit kwa barua make nilikuwa nawajua wanangu wapo vizuri,mtihani wa kwanza tu wakaanza kuwapelekesha wenyeji kwa average za juu.So hizi interviews zina kasoro sana shule zinatafuta kujiongezea kipato imagine ulipe 2m kwa mwaka and then mtoto arudie darasa kisa underaverage za usaili
Tatizo la kupata marks za chini kwenye interview halikuwa uwezo wa watoto wako bali shule waliyo toka jinsi ilivyo wapatia elimu.

Kuwa wa kwanza Kati ya wabovu au dhaifu si kipimo sahihi au kupata alama za juu kwenye shule flani ambayo wanafundishwa vitu vichache sana na kupewa maswali rahisi sana siyo kipimo kizuri.

Watoto wako kiasili ni wepesi lakini walikuwa shule mbovu au yenye wanafunzi wengi wasio na vipaji vya Hali ya juu kitaaluma.

Kuna mtoto alitoka shule ambayo si maarufu kwa ufaulu akaenda shule inayofanya vizuri sana kitaifa, alifaulu interview yao alama za juu hadi wakataka kujua kuhusu alikotoka. Hapo alikuwa kakaa nyumbani siku kibao bila kusoma sababu ya kuugua.
Walistaajabu ubora wake. Huko alikotoka walikuwa wanawapa mitihani migumu sana na walifundishwa sana.
 
Upo sawa ndugu na hilo linawezekana kabisa but kumbuka mtoto ni mtoto kuna kupanic kwenye vitu vipya na inaweza kusababisha mtoto kukosa ujasiri na kushindwa kufanya vizuri.Imagine ni mara ngapi tunaenda kufanya usaili sisi watu wazima tunashindwa kujieleza ht historia zetu za maisha tena kwa kiswahili?
 
Leo ni siku ya interview hapa Rightway Nursery and Primary school, Mbezi .
Haiwezekani mtoto wa lower primary school(std 1-3) afanye mtihani kuanzia saa 2 Asbh mpk saa 7 mchana . Mtoto anatahiniwa masomo 4 .Wakati zamani kwenda form one unatahiniwa masomo 2 tu, Hesabu na Kiingereza.
Naomba wizara ya Elimu ifatilie hili Jambo. Yaonekana hIzi english medium schools haziratibiwi ipasavyo.
Hiyo ni private school, hapo mbali na mtihani lakini wana muda wa kuwafanyia watoto observation especially kwenye social behaviours, kuna short break ya tea,

Kuna shule ambazo mtoto anaingia anafanya pepa faster unaondoka nae, lakini kwa rightway utaratibu wap ni tofauti na ni mzuri, nina mtoto wa causin wangu anasoma hapo

Akifaulu interview Monday utamlipia 20,00p anashinda shule kwa ajili ya total observation kama tabia zake zitakua mbovu watakwambia kwamba ondoka na mwanao, lakini kama atakua na tabia njema watakwambia ukalipe ada
 
Upo sawa ndugu na hilo linawezekana kabisa but kumbuka mtoto ni mtoto kuna kupanic kwenye vitu vipya na inaweza kusababisha mtoto kukosa ujasiri na kushindwa kufanya vizuri.Imagine ni mara ngapi tunaenda kufanya usaili sisi watu wazima tunashindwa kujieleza ht historia zetu za maisha tena kwa kiswahili?
Kujiamini ni sehemu ya usahili.
Kujiamini ni sifa ya kupewa ajira au nafasi ya kujiunga taasisi za kielimu.

In fact mitaala yetu ilitakiwa iweke mkazo kuwajengea watoto kujiamini. Hapo ndipo tunapigwa bao na jirani zetu nchi zilizo tuzunguka. Au na Wanaijeria na waghana au wakameruni.

Watanzania wengi hatujiamini hata pale tulipo bora, namuona Magufuli anajaribu kutujengea hiyo hali ya kujiamini. Ingawa nayeye bado kuna vitu anakosea kidogo kibinadamu.
 
Hiyo ni private school, hapo mbali na mtihani lakini wana muda wa kuwafanyia watoto observation especially kwenye social behaviours, kuna short break ya tea,

Kuna shule ambazo mtoto anaingia anafanya pepa faster unaondoka nae, lakini kwa rightway utaratibu wap ni tofauti na ni mzuri, nina mtoto wa causin wangu anasoma hapo

Akifaulu interview Monday utamlipia 20,00p anashinda shule kwa ajili ya total observation kama tabia zake zitakua mbovu watakwambia kwamba ondoka na mwanao, lakini kama atakua na tabia njema watakwambia ukalipe ada
Asante sana kwa kututetea....

Ukija nitafute tukupe chai na malazi mwaka mzima na mtoto asome bure...

Teacher Majalalani

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni private school, hapo mbali na mtihani lakini wana muda wa kuwafanyia watoto observation especially kwenye social behaviours, kuna short break ya tea,

Kuna shule ambazo mtoto anaingia anafanya pepa faster unaondoka nae, lakini kwa rightway utaratibu wap ni tofauti na ni mzuri, nina mtoto wa causin wangu anasoma hapo

Akifaulu interview Monday utamlipia 20,00p anashinda shule kwa ajili ya total observation kama tabia zake zitakua mbovu watakwambia kwamba ondoka na mwanao, lakini kama atakua na tabia njema watakwambia ukalipe ada
Yes, this is it..
Wazazi wengi wanaangalia taaluma ya darasani tu.

Kumbe characters za watoto wetu ni kitu muhimu sana. Kuna watoto Wana malezi mabaya sana wanaenda kuambukiza watoto wengine shule au kuvuruga utaratibu mzuri wa kufundishwa watoto wote tabia njema.
 
Mbona shule nyingi mkuu? Kwani lazima aende hapo? Fungua shule yako yenye somo moja basi
Kwani lazima aende right way?
Kwanza kabisa mtoto chini ya miaka kumi hawezi ku concentrate for two hours non-stop. Hiyo shule Ni ya CCM?
Walimu wa hapo hawajasoma saikolojia ya watoto kabisa.
It is a wrong school. Achana nayo
 
Back
Top Bottom