Hii inawahusu wanaume wote wenye haiba za kike kike

red fox

Senior Member
Jan 5, 2017
127
342
1. _*Mwanaume unaandika*_ *_text/unajibu "k, pw, thx" au unaandika "jomooni, jamoni"_*
*_Happy women's day to you!_*

2. _Mwanaume unapiga selfie umeng'ata lips!_
_Happy women's day to you!_

3. *_Mwanaume unaangalia Nirvana, wanawake live,_* *_telemundo na shilawadu.._*
*_Wewe pia tukutakie Happy_* *_women's day to you!_*

4. _Mwanaume unaoga oga sana kama Dada zako( Mara 3 na +) kwa siku,au unakaa bafuni nusu saa!_
_Happy women's day to you!_

5. *_Mwanaume unajichubua, una dressing table kabisa.. Unajua macream yote ya kimama mama.._*
*_Wewe ni jipu!_*
*_Happy women's day to you!_*

6. _Mwanaume unachat na msela afu unamwita "wangu/my"_
_Tabia za kishogalizing hizi.._
_Happy women's day to you!_

7. *_Mwanaume unagombania siti kwenye daladala halafu mwanamke amesimama,_*
*_Aisee biggest Happy women's day to you!_*

8. _Mwanaume unaogopa mende, panya, Giza, au kulala mwenyewe!_
_Happy women's day to you!_

9. *_Mwanaume hubet, haushabikii soka, wala mieleka, wala ngumi, Hata ukipishana na tetemeko la ardhi hugeuki!_*
*_Wewe ni mwanaume hewa!_* happy woman's day

10. _Mwanaume uko too submissive kwa mkeo.. Yaan_ _mke ndio anakuamulia cha kufanya..umeshikiwa akili!_
_Unalelewa!_

Mbona hapa mwishoni umesahau kutuambia kwamba umeikopi na kuipesti hii ' Kitu ' kutoka Chanzo gani?
 
Bila ubishi hii umeitoa huko whatsapp. Huo uandishi unaonesha :D
 
We nawe peleka utoto wako huko nyie ndo wanukaa pum** hiyo namba 40hapa mjini unaachaje kuoga hata mara mbili kwa siku???we na unayemlala wote wanuka shombo mi mwanaume asiyeogaa namuonaga kama budege
 
Haya mleta mada, umeshamaliza? Nenda sasa kaoge, ujipulizie pafyumu, vaa sketi yako na viatu vya mchuchumio, nenda Ilala Boma kupeleka kesi ya kutekelezwa mtoto wako. Shwaini wewe, huna mawazo ya kiume hata chembe japo wajidai ni mwanaume! La sivyo, basi "mtoto si riziki wewe".
 
Umesahau Mwanaume wa Tarime anaeogopa panya road, Sorry!! hv ni Tarime au ni wapi?
 
Kuna wanaume wanaudhi sana,utakuta yuko katikati ya wanawake wanapiga stori za kikekike na kuchekaaaa.Mwanaume mwingine ukijiingiza humo unatolewa mbio na wanawake hao,hawataki usikilize story zao.Mwanaume asiyekuwa 'mtukutu' wanakaa naye na kugongeana mikono kwa story zao
 
Kuna wanaume wanaudhi sana,utakuta yuko katikati ya wanawake wanapiga stori za kikekike na kuchekaaaa.Mwanaume mwingine ukijiingiza humo unatolewa mbio na wanawake hao,hawataki usikilize story zao.Mwanaume asiyekuwa 'mtukutu' wanakaa naye na kugongeana mikono kwa story zao
 
We nawe peleka utoto wako huko nyie ndo wanukaa pum** hiyo namba 40hapa mjini unaachaje kuoga hata mara mbili kwa siku???we na unayemlala wote wanuka shombo mi mwanaume asiyeogaa namuonaga kama budege
Loooh budege tena
Wwe ni muhenga mwenzangu
Hiv bado anatenda za ile kaz
 
We nawe peleka utoto wako huko nyie ndo wanukaa pum** hiyo namba 40hapa mjini unaachaje kuoga hata mara mbili kwa siku???we na unayemlala wote wanuka shombo mi mwanaume asiyeogaa namuonaga kama budege

na kupaka mafuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom