Hii Imenichekesha kweli

kilemi

JF-Expert Member
Mar 13, 2009
547
107
Eti ndio tofauti ya akili ya mwanamke na mwanaume
akili ya pili ni ya mwanaume!!
 
Huu ubongo wa kiume kiboko....uko bize kupita maelezo.
 
Tafsiri yake ni kwamba wanaume always wanawaza NGONO TUUUUUUU. angalieni vizuri hapooooo
 
Maana yake ni kwamba akili ya mwanaume lazima ifanye kazi kwani tukiangalia mwanaume ni kama kichwa katika familia kwa hiyo lazima akili ifanye kazi ya ziada.
 
Maana yake ni kwamba akili ya mwanaume lazima ifanye kazi kwani tukiangalia mwanaume ni kama kichwa katika familia kwa hiyo lazima akili ifanye kazi ya ziada.

Asante sana!

F_20031004ed_imgMan_245281a.jpg
 
Dah si mchezo
Naomba niagizie pweza maana siku hizi hata nguvu zimepungua nasikia Zenji pweza wazuri sana huku bara twalishwa pweza wa kichina.

Pweza hasa mkia unaweka na pili pili Manga! Lazima utafute bata
 
Back
Top Bottom