Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Hi Ndugu mebers wote How can u rate this page.? Sikika Fikika, Tafuta ,Wajibisha .Am not a professiona web developer am trying to learn new and advanced skills. in WWW. Welcomm for criticism .
After kunirate nimabie kwa nini umeipa rate hizo ili niendelee
Objective ilikuwa ni kufanya pracatise ya Kutengeneza columns kwenye webpage kwa kutumia CSS na kuingiza backgrund image kwa kutumi CSS
Nimegungua CSS is so pewer fulll na muhimu zaidi kuijua kuliko hata than HTML. Am i right.?
Sasa kwa wale wataalam naomba wanielewesehe je katika kutengeza web
hizo link hazifanyi kazi sababu haikuwa lengo langu. Hapa nilikuwa najifunza CSS na uwezo ulionao kwenye graphics.

- Utaftofautishaje katika kutengeza ya web ya shule na web ya Hospitali
- Ni vitu gani vya kuzingatia ukitengenza web ya ya ofisi ya serikali tofauti na web kama ya Biashara binafsi au shirika
- Web ya NGO na na web ya Benk zinatakiwa kutofautina vipi kaika interface yake.