Hii Imeenda: Aliyeua kwa upanga ameuawa kwa bunduki

Akajikuta yeye jembe, kumbe mwenzake ni mpini (kishikio cha jembe)
Kasusiwa shamba zima
 
Huyo dogo wa kiume hana akili.

Mwanaume hupaswi kua na tabia za wanawake, mwanaume we don't tell why. Wanawake ndio wana tabia za kukukataa waziwazi, wanaume hiyo haitakiwi wala hutakiwi kua nayo labisa.

Mwanaume hata kama mwanamke hajakuvutia kiumbile ama hata kwa shoo hutakwi kumwambia wazi kwamba wewe sikupendi ama sikutaki kwa sababu una shape mbaya ama umenipa shoo mbovu, unakaa tu kimia, mute.

Ndio maana huyo binti kamshangaa sana huyo kijana, mwanaume unakataaje mwanamke?

Wanaume halisi kanuni ni moja, we don't tell why lakini pia mwanaume halisi huachi mwanamke, acha mwanamke akuache sio wewe umuache, kama humtaki wewe mute tu, with time atajiondoa mwenyewe.

Wanaume ni kama simba, siku ukikosa nyama utakula majani, majani ndio hao wanawake ambao hawakuvutii ila once in a while unawakamua kutuliza nyege ikiwa hujapata demu anaekuvutia.
 
Mentality za kizamani hizo...mchane live Kila mtu amind bizz zake....kwa hyo yeye ajione yuko sahihi kwa kutoa vipaumbele vya mwanamke anaemtaka...ila Mimi nikizitoa zangu iwe kosa...wake up man...Dunia unakimbila zaid ya supersonic speed..
 
Mentality za kizamani hizo...mchane live Kila mtu amind bizz zake....kwa hyo yeye ajione yuko sahihi kwa kutoa vipaumbele vya mwanaume anaemtaka...ila Mimi nikizitoa zangu iwe kosa...wake up man...Dunia unakimbila zaid ya supersonic speed..
 
Mentality za kizamani hizo...mchane live Kila mtu amind bizz zake....kwa hyo yeye ajione yuko sahihi kwa kutoa vipaumbele vya mwanamke anaemtaka...ila Mimi nikizitoa zangu iwe kosa...wake up man...Dunia unakimbila zaid ya supersonic speed..
Hakuna cha mentality ya kizamani ama ya kisasa, mwanaume ni yule yule, awe wa mwaka 1400 ama 2023, muda haujawahi kubadilisha mwanaume.

Tabia za kumkataa mwanamke waziwazi ni za kike, ni za wanawake.

Mwanaume huwezi kua na tabia za kujibizana na wanawake, utakua na matatizo. Mwanamke ana haki ya kukukataa waziwazi, hawakai na jambo moyoni, hawanaa vifua, jambo limemkwaza analisema wazi. Sasa mwanaume huwezi kukaa unashindana na wanawake, wanachokisema na wewe unasema, eti kisa yeye kasema na wewe lazima useme. Huo ni ushoga.

Wewe ni mwanaume? Umekuzwa na mzazi mmoja tu wa kike?

Unaonekana una ukosefu wa malezi ya baba nyumbani. Kama alikuwepo basi ni wale aina ya kina dokta kumbuka.
 
Una bwabwaja tu hakuna Cha maana unachosema...Kila mtu anatabia tofaut na namna fulan ya kupokea taarifa..siwez kuona huyo mwanaume kama mwenye tabia za kike cz amebalance emotions zake kwa namna hyo.....we ukitaka binadamu wanaofanana kitabia na kihulka umba wa kwako.
 
Huyo dogo wa kiume hana akili.

Mwanaume hupaswi kua na tabia za wanawake, mwanaume we don't tell why. Wanawake ndio wana tabia za kukukataa waziwazi, wanaume hiyo haitakiwi wala hutakiwi kua nayo labisa.

Mwanaume hata kama mwanamke hajakuvutia kiumbile ama hata kwa shoo hutakwi kumwambia wazi kwamba wewe sikupendi ama sikutaki kwa sababu una shape mbaya ama umenipa shoo mbovu, unakaa tu kimia, mute.

Ndio maana huyo binti kamshangaa sana huyo kijana, mwanaume unakataaje mwanamke?

Wanaume halisi kanuni ni moja, we don't tell why lakini pia mwanaume halisi huachi mwanamke, acha mwanamke akuache sio wewe umuache, kama humtaki wewe mute tu, with time atajiondoa mwenyewe.

Wanaume ni kama simba, siku ukikosa nyama utakula majani, majani ndio hao wanawake ambao hawakuvutii ila once in a while unawakamua kutuliza nyege ikiwa hujapata demu anaekuvutia.
Huoni kuwa ni maigizo? Wanajaribu kuiga Ebru TV ya Kenya.
 
Una bwabwaja tu hakuna Cha maana unachosema...Kila mtu anatabia tofaut na namna fulan ya kupokea taarifa..siwez kuona huyo mwanaume kama mwenye tabia za kike cz amebalance emotions zake kwa namna hyo.....we ukitaka binadamu wanaofanana kitabia na kihulka umba wa kwako.
Ni kweli kila mtu ana tabia tofauti lakini tabia za kiume ni zile zile.

Kama wewe una emotions kama za wanawake kutaka kushindana na wanawake wewe sio mwanaume, ni mwanamke ama shoga.

Bold, Uandishi wako tu unaonyesha wewe ni wa aina gani. Ungekua mwanaume ungekua umenielewa mapema.
 
Kuna viclip huko mitandaoni, vijana wakiwakacha watoto wa kike wenye nyodo kwa aibu kubwa.

Kina dada punguzeni dharau, sio kila mwanaume anakutamani.
 
Attachments

  • 355871876_286142820748494_938045943936351639_n.mp4
    3.3 MB
Back
Top Bottom