Kama ni hivyo hilo kanisa siendi khaaa.......au labda ni macho yangu, nimesikia Asprin mnaitana au anatamka in law (ingawa sijui kwenye ukoo kaingia lini) anaweza kunipa jibu
mchungaji au padri lazima nonino isimame. Gf sio vizuri kuwakwaza wapakwa mafuta wa bwana.
Huna gauni la kitenge model ya '2000 hivi..au sketi manyanga au charanga au hata gauni la fasheni ya "nina adabu"...haiwezekani vyoote hivyo ukose!
BADILI TABIA hata wewe jamani...............simtegi mtu banaunawategaaaa
My sister wa ukwee gfsonwin....for job and pilikapilika sake za asubuhi hii hebu badilisha hicho kigauni kwenye avatar....uuuuuph
jamani ma true brother mbona hiyo ni nguo ya jumapili kuendea kanisani?
utawabebaje thatha kwa huo mtego?? lol! kwa raha zako my dada kha!