jamani ma true brother mbona hiyo ni nguo ya jumapili kuendea kanisani?
My sister wa ukwee gfsonwin....for job and pilikapilika sake za asubuhi hii hebu badilisha hicho kigauni kwenye avatar....uuuuuph
mmmh!!!!! we platozoom alivyopendeza hata padre atamwambia akae mbele!! dada ako kaumbika hata akivaa shuka bado utastuka!lol gfsonwin umependeza mwaya!!
itanisaidia mno hiyo picture, tena nitaiweka kwenye Login screen ya PC yangu ^_^. jamani tunabaniana hadi picha, ningeomba namba jee?Si nilisema hicho kishanshude ndio kitawatoa watu udenda..huyo keshaanza
nikipata mrembo kama huyo jela kitu gani, nitabribe mpaka niwe napata conjugal visits 5/week. ^_^Una hamu na jela wewe
Eish.....!aiseeeeeeee!
shenzitype zangu! Makofi matatu kwake tafazali!eish.....!