Hii filamu ya Kichina TBC ni nzuri Sana !

Cha kusikitisha inakaribia mwishoni hii kitu Ni tamu Sana, lazima ucheke tuu na kuburudika;!
ILA nimeona wanatangaza ujio WA tamthmilia nyingine ILA cha kufurahisha wahusika watakuwa Hawa hawa
 
Wadau wiki hii sikuweza kuingalia tamthilia kwa siku ya Jummane na Jumatano, nilikua bize katika Ujenzi wa Taifa letu La Tanganyika Inshaalah.

Nadhani kata kwa wiki ijayo pia ratiba yangu imebana, nitaangalia Jumatatu tu. Najua nakosa uhondo sana. Ila nitafuatilia kupita Posts zenu hapa JF. Tatizo kubwa TBC haipo online. Basi ni shida tupu. Hii inasikitisha hakuna Online Television ya Tanzania hata Moja, wakati CITIZEN ipo online kwa Upande wa East Africa.

CC. Dinazarde.
 
Ooh usijaliiii kwa hiloo tutakusimuliaaaa
 
Ama kweli there is a thin line between Love and Hate. Mama Shaomi amesha cross border, the so called Iron Curtain.
 
Unaiangalia eee Shaumi hataki hayo mahusiano et atapata aibu na mama Shaumi kafunguka kua anampenda kaka jin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom