Hii filamu ya Kichina TBC ni nzuri Sana !

Ile siku mama shaomi alishika kisu akawa anamwambie mjomba jin,"mimi huota ndoto usiku na kufanya matendo ya kweli,naweza hata kumchinja mtu nikiwa usingizini"baadae yule mzee alitafuta visu vyote vilivyokuwemo ndani akavificha....nilicheka sana.
 
huku akiwa ameshka kisu anaimba"usiku huuu kuwa makinii, usiku huuu kuwa makinii,
utachomwa kisu, utachomwa kisu"mze katoa macho kusikia huo mwimbo dah anafurahsha sana huyu mama
 
huku akiwa ameshka kisu anaimba"usiku huuu kuwa makinii, usiku huuu kuwa makinii,
utachomwa kisu, utachomwa kisu"mze katoa macho kusikia huo mwimbo dah anafurahsha sana huyu mama

Halaf mlango wa chumban alipokua akilala haufungi hhhhaaaa, akasema autengeneze mama shaumi akakataa hapa sheria yetu hua tunafunga mlango mkubwa tu,hii ya ndani haina haja ya kufungaaa,basi mzee wa watu mawazo tele
 
ATAKAYENISAIDIA KUPATA DVD(SWAHILI VERSION) za hii series intashukuru sana....
 
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.

Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.
OK,hebu nitumie account namba yako ulimowekamo hizo hela kwanza kabla ya yote.
 
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.

Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.

unazngua bibi huangalii uzi wa kutupia hyo shda yako nenda kazifukie kaburini uzizike
 
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.

Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.

Nadhani Mama Shaoumi anaweza kukushauri, au Mzee Jin. No! yule Mtoto wa Kike wa Mzee Jin ni Mfanya Biashara. Anaweza kukushauri. Usikose kuangalia Kesho Mungu akipenda saa 4 Usiku.
 
Nadhani Mama Shaoumi anaweza kukushauri, au Mzee Jin. No yule Mtoto wa Kike wa Mzee Jin ni Mfanya Biashara. Anaweza kukushauri. Usikose kuangalia Kesho Mungu akipenda saa 4 Usiku.

Hhhhhaaaaa
 
filam yao nzuri sema tatizo siku hizi wameanza kuiharibu na tangazo lao la Angels pads, kila dakika wanaliweka lina boa
 
Mkuu hata mimi nichangamoto kweli kuingalia. Mara nyingi hua nakwepa kuangalia tamthilia kwa sababu zina addiction flani hivi. Ila hii ina uchesi sana. Hawa jamaa waliotafsiri sio Mchezo. Ni proffesional sana.

WATafsiri walio wengi ni WAZANZIBARI na wachache ni wachina waliojifunza kiswahili,

Wawezajua baadhi ya swaga za kiunguja kama yule shaomi humwuta mama yake "maa" na "baa" hii ni mtindo kiswahili cha Zanzibar,

Maneo kama mwali mpevu nk...ni maneno ambayo hutumika sana zanzibar.

Chei cheii
 
Hii filamu ni nzuri sana, familia yangu hawaikosi kuitizama kila siku, nami bila kujijua nimejikuta ni mfuatiliaji mzuri kutokana na vituko na lafudhi za washiriki..

Hakika hawa jamaa ni wabunifu sana, na kwa mtindo huu TBC inapata watazamaji wengi kupitia filamu hii, ni hatua nzuri sana hii.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
WATafsiri walio wengi ni WAZANZIBARI na wachache ni wachina waliojifunza kichina,

Wawezajua baadhi ya swaga za kiunguja kama yule shaomi humwuta mama yake "maa" na "baa" hii ni mtindo kiswahili cha Zanzibar,

Maneo kama mwali mpevu nk...ni maneno ambayo hutumika sana zanzibar.

Chei cheii

Ni kweli mkuu. Hii filamu imetiwa ladha na kiswahili cha pwani, hasa Zanzibar na Mombasa kenya. Kinanifurahisha ni jinsi Maneno yao yanavyoendana na facial expressions zao. Hawa waliotafsiri ni kiboko.

Ila yule dogo aliemuoa shaoumi ni Mvumilivu sana na anaonekana ana mapenzi ya kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom