hii blanket 'ban' uliitumiaje?

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
eeeeeehuuuuuu pheeeeeewwwww yaani wana jf wooooooote naona wakubwa walitutandika li blanket ban.Kweli nimeamini ban inauma aisee,one week no see jf,chaaaaaa muda mrefu aisee.
Embu tujuzane ndugu zangu, wengi wetu jf ndo ka addiction ketu,sasa hako ka vacuum ka wiki moja bila jf ulikajaza na nini maana 'nature abhors vacuum'.
Bishanga niliamua kuoa haraka haraka nikaenda zangu hanimuni hukooooooo kilwa kipatimo.
Na wewe mdau?
ps:mad:nyani ngabu alikamatwa anachoropoa kuku kwenye tenga soko la kisutu,sijui aliishia wapi Kongosho mara ya mwisho alionekana hoi kwenye mtaro uwanja wa fisi.
........nitaendelea ngoja niendelee kukusanya datas.
 
Nilienda kuangalia shamba langu maana nilikuwa kwenye majonzi sweetylady aliamua kuondoka bila kuniaga
 
Ndio maana alitoweka ghafla naomba wajumbe wasiopungua sita(6) kuisupport kauli ya kongosho ili nifanye maamuzi mazito
never dream of that, switii wako yuko salama kabisa hapa Perth,Australia alikuja kumwona mtoto wa dada yake ambaye namsomesha mimi ,kesho anageuza.Actually i bumped into her downtown Sydney akaniambia anakusalimia,kesho nitampeleka lunch kabla sijam drop airport.
 
Inaonekana wewe ndiye unae mpagawisha kwa kumpa hayo maofa yote. Nilikuomba unipige tafu wakati mambo yangu yalivyochacha kumbe umeamua kufanya ukweli
Yaani my wife umemficha sydney!
 
Inaonekana wewe ndiye unae mpagawisha kwa kumpa hayo maofa yote. Nilikuomba unipige tafu wakati mambo yangu yalivyochacha kumbe umeamua kufanya ukweli
Yaani my wife umemficha sydney!
usikonde bana,kesho anageuza!
ila sasa na wewe hata hamjaoana mnapeana ujauzito,juu ya nini?
 
Mie mmbea na si shambenga.
Mmbea huwa anasema ukweli pasipotakiwa.

Afu na wewe si ulitaka kumtorosha Husyn hadi akakutoroka for good.

leo nimeamini Kongosho kweli ni shambenga,tena lilikobuhu,juu ya nini umchonganishe nitonye na swithat wake? Nakuaminia Nitts,komaa na sweetlady mpaka kieleweke,ka vipi wabaya wenu wanywe sayanaidi au thiodan.
 
Last edited by a moderator:
unataka maamuzi mazito kwenye masuala mepesi?

Mke kakukimbia baada ya kubeba ujauzito wa mwanamme mwingine.

Ndio maana alitoweka ghafla naomba wajumbe wasiopungua sita(6) kuisupport kauli ya kongosho ili nifanye maamuzi mazito
 
ana jeuri ya kumpeleka Sydney?

Labda Nyaishozi.

Inaonekana wewe ndiye unae mpagawisha kwa kumpa hayo maofa yote. Nilikuomba unipige tafu wakati mambo yangu yalivyochacha kumbe umeamua kufanya ukweli
Yaani my wife umemficha sydney!
 
Nilienda kuangalia shamba langu maana nilikuwa kwenye majonzi sweetylady aliamua kuondoka bila kuniaga
Jamani sweeheart am back kwaajili yako......afu toka lini mambo ya chumbani umeanza kuyatoa sebuleni?......ona sasa Kongosho ameanza kuchonga.....

Love you darling!
 
Last edited by a moderator:
unataka maamuzi mazito kwenye masuala mepesi?

Mke kakukimbia baada ya kubeba ujauzito wa mwanamme mwingine.

Tobaaaaaaaaaa!!!!!!! Kongosho nikiachika utantambua, khaaaaaa!!!!!!! nitonye darling usisikilize maneno ya uzushi, umesahau tuliapa mpaka kifo kitutenganishe?
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana wewe ndiye unae mpagawisha kwa kumpa hayo maofa yote. Nilikuomba unipige tafu wakati mambo yangu yalivyochacha kumbe umeamua kufanya ukweli
Yaani my wife umemficha sydney!
nitonye my only one siamini kama haya maneno yametoka kinywani mwako.......plz nambie unatania!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom