hii blanket 'ban' uliitumiaje?

never dream of that, switii wako yuko salama kabisa hapa Perth,Australia alikuja kumwona mtoto wa dada yake ambaye namsomesha mimi ,kesho anageuza.Actually i bumped into her downtown Sydney akaniambia anakusalimia,kesho nitampeleka lunch kabla sijam drop airport.

Acha uongo Bishanga, mie nipo zangu nyumbani namsubiri nitonye aje tutoke zetu!
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana alitoweka ghafla naomba wajumbe wasiopungua sita(6) kuisupport kauli ya kongosho ili nifanye maamuzi mazito
nitonye sweetlove, kwani umepatwa na nini?......tulikubaliana hakuna kusikiliza maneno ya wambea kama Kongosho leo umegeuka?......bado siamini ujue.
 
Jamani sweeheart am back kwaajili yako......afu toka lini mambo ya chumbani umeanza kuyatoa sebuleni?......ona sasa Kongosho ameanza kuchonga.....

Love you darling!

Love you too baby, bishanga konnie wanatoa maneno mazito.
 
Last edited by a moderator:
kloro unatulaghai eeeee

Lawyer sio vizuri kuongopa!
Yaani ilikuwa bomba kinomi, kulikuwa na access special ya VIP, tulikuwa kama watu 20 tu JF nzima, hapa ndio nilisibitisha kumbe memba wa JF kibao ni vimeo tu, unajua ngoma iliwekwa ili ukuwe na access basi unahitaji IP adress maalum za routers maalum za VIP. Ni kipindi ambacho tulikitumia kujadili namna mamilionea kama loya na wenzake wanavyoweza kuikwamua JF kiuchumi.

I love you klorokwini.........
thats my darl, Love u more sweetlady , Mala hii tukikutana lazima nikubebe, mzembe nimeanza gym, six pack la kufa mtu.

Waambie hao darlin' wanaingia jf na vimeo afu wanategemea waione lol......watajibeba!

Halaf wamefungua masredi kibao wanalalamika, kumbe mamilionea tunawachora tu na kelele zao.
 
Last edited by a moderator:
Yaani ilikuwa bomba kinomi, kulikuwa na access special ya VIP, tulikuwa kama watu 20 tu JF nzima, hapa ndio nilisibitisha kumbe memba wa JF kibao ni vimeo tu, unajua ngoma iliwekwa ili ukuwe na access basi unahitaji IP adress maalum za routers maalum za VIP. Ni kipindi ambacho tulikitumia kujadili namna mamilionea kama loya na wenzake wanavyoweza kuikwamua JF kiuchumi.

thats my darl, Love u more sweetlady , Mala hii tukikutana lazima nikubebe, mzembe nimeanza gym, six pack la kufa mtu.

Halaf wamefungua masredi kibao wanalalamika, kumbe mamilionea tunawachora tu na kelele zao.[/ QUOTE]
tatizo lako we kloro umekaa ki mkukuta,yaani wamiliki wa jf wamekukatia ka mshiko unaleta longolongo hapa.....TAKAKURUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani ilikuwa bomba kinomi, kulikuwa na access special ya VIP, tulikuwa kama watu 20 tu JF nzima, hapa ndio nilisibitisha kumbe memba wa JF kibao ni vimeo tu, unajua ngoma iliwekwa ili ukuwe na access basi unahitaji IP adress maalum za routers maalum za VIP. Ni kipindi ambacho tulikitumia kujadili namna mamilionea kama loya na wenzake wanavyoweza kuikwamua JF kiuchumi.

Hahahahahaha !!!!!!!!

thats my darl, Love u more sweetlady , Mala hii tukikutana lazima nikubebe, mzembe nimeanza gym, six pack la kufa mtu.
Thats my sweetheart klorokwini.......mwaaaaaaaa to you!!!!!!!!!

Halaf wamefungua masredi kibao wanalalamika, kumbe mamilionea tunawachora tu na kelele zao.
Afu malalamiko yao yanatupotezea pozi lol....hebu wasiliana na makao makuu ya jf wadelete hayo mapost yao ya kulalama..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom