Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Exile

JF-Expert Member
Feb 21, 2021
1,436
3,452
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
 
Live the life u love,love the life u live,

Unaweza kumnunulia Gari la thamani Mwanamke ila akaja kuliwa na mtu aliyemsaidia kubadili tairi njiani,
Unaweza kumfungulia biashara mwanamke ila akaja kuliwa na mteja,

A developed country is not a place where the poor people have cars,
It's where the rich use public transportation-Gustavo Petro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom