High Court Judgement and Decree: Dr.Godbless Appeal case against Medical Council of Tanzania ( MCT)

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
848
1,212
Habari wana JF: Nawaletea nakala za Judgment na Decree kuhusu kesi ya rufaa iliyofunguliwa Mahakama Kuu dhidi ya Baraza la Madaktari la Tanganyika(MCT) ambapo Mahakama Kuu ilitupatia ushindi.
 

Attachments

  • 1405233804918.jpg
    1405233804918.jpg
    82.3 KB · Views: 137
  • 1405233972276.jpg
    1405233972276.jpg
    62.1 KB · Views: 114
  • 1405234005099.jpg
    1405234005099.jpg
    58.2 KB · Views: 111
  • 1405234039185.jpg
    1405234039185.jpg
    56.1 KB · Views: 105
  • 1405234098240.jpg
    1405234098240.jpg
    79.8 KB · Views: 105
  • 1405234129638.jpg
    1405234129638.jpg
    59 KB · Views: 111
  • 1405234169233.jpg
    1405234169233.jpg
    59.7 KB · Views: 102
  • 1405234200586.jpg
    1405234200586.jpg
    56.7 KB · Views: 102
  • 1405234224258.jpg
    1405234224258.jpg
    34.9 KB · Views: 104
Hongera Dr.Godbless , hongera sana japo attachment zako hazifunguki ukiacha hiyo ya kwanza

Lakini hata hivyo nikupongeze daktari kwa ushindi wako dhidi ya MCT ambao wanataekeleza maagizo ya serikali yetu dhalimu , iliyoshindwa jukumu na wajibu wa kutoa huduma ya afya bora kwa wananchi wake

Ushindi wako uwe ni kwa ajili ya mma mjamzito anayekosa mazingira safi na vifaa tiba kwa ajili ya kujifungua salama yeye na mtoto wake

Ushindi wako uwe ni kwa ajili ya mnyonge tena mlipa kodi au mkulima anayenyimwa haki ya msingi ya matibabu na hata ya kuishi.

wananchi wengi wanataabika na maradhi yanayotibika ,wanapoteza maisha wakati wao wanatibiwa nje ya nchi kwa fedha za walipa kodi

tunapinga kwa nguvu zote huduma mbovu za afya ktk nchi yetu iliyojaa kila aina ya utajiri. Hii haikubaliki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom