Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

Baada ya kuona Wananchi wana nufaika Moja kwa Moja kutoka kwa Makampuni ya Hewa ya Ukaa nongwa ikaingia kwa walafi ndo kuanzishwa kwa hiyo ninini

Hapo kwenye hilo dawati mnasubiri Kusindikiza na kuomba rushwa .....

Taasisi nzima mmeshindwa hata kwenda huko Itigi Thickets kwenda kuanzisha Mradi wa Carbon emissions offset ....mnakalia kusajili vilemba

Eti registration....TPRI Taasisi kubwa Kusini mwa Jangwa la Sahel ilikufa kwa sababu ya kuendekeza matumbo mfano hapo

Huko Duniani Makampuni hayanunui Carbon kutoka maeneo yenye UCHAFU(°Migogoro)

Dunia Kijiji jombaa.....
Ingefaa makampuni yanunue carbon credits kutoka misitu ya kupanda tu. Ingesaidia na kuboresha mazingira yetu.
 
Kigosi National Park ni Hifadhi ya Taifa iliyokuwa ikimilikiwa na TANAPA.
Hifadhi hii imenyofolewa chini ya usimamizi wa TANAPA baada ya kugundulika ina hifadhi kubwa ya dhahabu.
Hifadhi iliondelewa kipindi cha Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na kukabidhiwa TFS ambayo ni taasisi ya uangalizi wa misitu. Ifahamike TFS nayo imeingia mikataba na Waarabu kwajili ya kumiliki maelfu ya ekari ya misitu yetu chini ya taasisi hii iliyo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii.

Hebu fafanua vizuri hapo penye red.
 
Ukikurupuka na kunakili mstari mmoja tu au maneno mawili tu Mwarabu, dhahabu basi utaanza kutokwa povu kama lote
Ila ukisoma mwanzo mwisho ambapo wengi huwa wanajibu post kwa kuangalia headings tu basi utagundua ni tofauti heading na yaliyomo

Kwanini mtu uwe na chuki kiasi hiki kama umasikini unautaka mwenyewe
Mimi siukubali maana ni LAANA
 
Baada ya kuona Wananchi wana nufaika Moja kwa Moja kutoka kwa Makampuni ya Hewa ya Ukaa nongwa ikaingia kwa walafi ndo kuanzishwa kwa hiyo ninini

Hapo kwenye hilo dawati mnasubiri Kusindikiza na kuomba rushwa .....

Taasisi nzima mmeshindwa hata kwenda huko Itigi Thickets kwenda kuanzisha Mradi wa Carbon emissions offset ....mnakalia kusajili vilemba

Eti registration....TPRI Taasisi kubwa Kusini mwa Jangwa la Sahel ilikufa kwa sababu ya kuendekeza matumbo mfano hapo

Huko Duniani Makampuni hayanunui Carbon kutoka maeneo yenye UCHAFU(°Migogoro)

Dunia Kijiji jombaa.....
Ulitaka ujifanyie vitu bila ya kuwa monitored? Hiyo GHG accounting ya nchi itaripotiwa vipi kama munafanya vitu kinyemela, au wewe ndiyo unawajibika kuripoti kwa niaba ya nchi?
 
Kaa kwenye meza usome magazeti...wasubiri wenye Vilemba wanakuja wiki ijayo wakupe Tende.
 
Na ukitazama vizuri kwa jicho la tatu utagundua jambo moja muhimu sana.

Waziri Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Utumishi na Utawala bora alitengeneza utaratibu haramu wa kuwatengea 21% ya ajira katika taasisi za muungano ndugu zake Wazanzibari.

Kapelekwa Maliasili na Utalii kanyofoa Kigosi na sasa TAMISEMI atafanya yake tena huko.

Jamaa muungo wewe lete data siyo unatomboka tomboka
 
wewe hukutarajia kuwa mimi naelewa mambo ya carbon trading na ulikuja kwa gia kubwa, sasa ati kaa kwenye meza......
Ungekuwa unajuwa Carbon trading hapomsinge mpa Mwarabu hayo mapori via TFS .....hapo SUA.nitajie hata mradi moja mliofanikiwa wa Carbon emissions
 
Hebu fafanua vizuri hapo penye red.

Tanzania, UAE zasaini ushirikiano wa Mazingira​

JUMANNE , 7TH FEB , 2023
NA MWANDISHI WETU
Taasisi ya Blue Carbon UAE na Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wametia saini Mkataba wa Makubaliano kuanza kwa ushirikiano wenye lengo la kukuza usimamizi endelevu wa misitu na kupunguza ukame.

Untitled-1.jpg

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe, Dkt. Selemani Jafo amesema biashara ya kaboni itasaidia kuleta fursa nyingi hapa nchini na kusaidia kuhifadhi mazingira.
Amesema hayo mara baada ya hafla ya kusainiwa kwa hati ya makubaliano ya uhusiano kati ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Kampuni ya Blue Carbon kutoka Dubai.
Hafla hiyo imeshuhudiwa na Mwanamfalme wa Dubai ambaye pia ni Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon Mhe. Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum na Waziri Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana.
Dkt. Jafo amesema kuwa hii ni mara ya kwanza kwa makubaliano hayo baada ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kukamilisha uandaaji wa kanuni na mwongozo wa biashara ya kabini Oktoba 2022.
Amesema hatua ya kusainiwa kwa makubaliano hayo itafungua milango kwa wananchi kupanda miti kwa wingi na kutunza mazingira ili iweze kuingia kwenye biashara hiyo.
“Ni Imani yetu sasa tutategemea kuwa na fursa nyingi pamoja na kurudisha hali ya mazingira iliyoharibika na tunaona hata mikoko pia inaingia katika baishara ya kaboni hivyo TFS sasa watakuwa na uwanja mpana wa kuhakikisha misitu yetu inahifadhiwa,” amesema.
Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini makubaliano hayo Mwanamfalme Mhe. Sheikh Al Maktoum ambaye aliambatana na ujumbe wake Ushirikiano huo utajikita katika kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhifadhi, kusimamia na kusajili rasilimali zake za misitu.
Amesema hifadhi hizo zenye ukubwa wa hekta milioni 8 katika awamu ya kwanza ya kwanza ikijumuisha hekta 56,000 za mikoko chini ya kifungu cha 6 cha Mkataba wa Paris hivyo kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, katika kuendeleza miradi mipya ya kukabiliana na kaboni.
“Tuna heshima kubwa kusaini Mkataba huu na Serikali ya Tanzania. Ushirikiano huu unawakilisha hatua muhimu katika kukuza mazoea ya usimamizi endelevu wa misitu na kupambana na mabadiliko ya tabianchi.”
Serikali ya Tanzania inatambua umuhimu wa kuhifadhi rasilimali za misitu na kupunguza uzalishaji wa gesi chafuzi, na ushirikiano huu na Blue Carbon utasaidia kufikia malengo hayo. Ushirikiano huo pia utatoa fursa kwa jumuiya za wenyeji kushiriki katika miradi ya kukabiliana na kaboni, na hivyo kukuza ukuaji endelevu wa uchumi na kuboresha maisha.
Kwa upande wake Waziri Dkt. Pindi ametoa wito kwa wananchi kuhakikisha wanapanda mit kwa wingi hasa katika kipindi hiki cha mvua ili iweze kukua na kuingia katika biashara ya kaboni.
Amesema kuwa nchi yetu imejaliwa kuwa na eneo la takriban hekta milioni 48.1 zenye misitu ambayo imekuwa na faida nyingi kwa wananchi wake katika masisha ya kila siku.
“Tukitunza misitu yetu tutapata faida nyingi kwan tunaona vyanzo vya maji vinategemea misitu, sekta nyingi zinategemea miti mfano kilimo, afya, ujenzi, mindombinu hivyo ni kuhimu kulinda kuhifadhi misitu,” amesisitiza.
Naye Kamishna wa Uhifadhi TFS Prof. Dos Santos Silayo amesema wakati umefika sasa kwa nchi zilizoendelea kuweka mchango wao kwa nchi zinazoendelea kupunguza gesi joto.
Amesema hatua ya kusaini makubaliano na Blue Carobon ni mwanzo wa utekelzaji wa shughuli hizi ambapo kampuni hiyo itaanza mchakato wa kusajili kuzingatia maelekezo.
Ametoa msukumo kwa nchi zinazoendelea kuweka kipaumbelea katika kuhifadhi mistu ili kuweka msingi wa maeneo yanayoweza kujikita katika biashara ya kaboni ambayo imeshakuwa ni mbadala wa shughuli za kiuchumi hivi sasa.

ABOUT US​

NETWORK​

© 2023 East Africa Television Limited. All Rights Reserved

notification icon

Subscribe to our notifications for the latest news and updates. You can disable anytime.
 
Dunia Kijiji majangili sasa Mwisho
 
Angalau hawajauza msitu kama ilivyoandikwa mwanzoni.
 
Kila awamu tulipigwa basi tu huyu wameamua vingi ku expose , lakini haki ibaki kuwa haki tukosoe wanapokosea wanapopatia tupongeze

Awamu ya nne🙌🙌
 
Back
Top Bottom