Hidden cancer cures

Labda tukumbushane tunachokijadili ni "Hidden cancer cures"

Cha msingi ni kujitathmini kama je,leo hii ndugu yako au wewe mwenyewe aki/ukipata cancer utajitibu vipi kwa kutumia natural therapy?Je,unajua hata njia moja ya natural therapy itakayokuponya cancer?

Nasema hivi kwa sababu nataka tuwe practical zaidi na pia nataka uzi huu usiwe porojo za vijiweni kama nyuzi nyingine zilivyo,yaani nataka kilichozungumzwa humu kilete faida inayoonekana kwa watu ambao wameshapata elimu hii.Vinginevyo mijadala kama hii itakuwa haina umuhimu tena kama haitaleta faida kwa watu.

Hivi ndivyo mabadiliko yanavyotokea,unasoma kitu,unakielewa,halafu unakifanyia kazi na kinakusaidia kweli.Halafu baada ya hapo unashiriki elimu uliyoipata na wengine ambao hawajui na hatimaye elimu inasambaa kwa watu wengi zaidi.
 
Hakika maneno yako mkuu Deception, mimi binafsi nimeshaanza kuzikusanya mbegu ya Apricot, nimeshawahi kuzila ila ni za uchungu balaa ila ninachotaka kufanya ni kuzisaga na kuzitengeneza vidonge kwa kuchanganya na asali.
Hapo juu nilikuwa nawakumbusha watu walioanza kutoka nje ya mada husika na kujadili mengine.
 
Last edited by a moderator:
Hakika maneno yako mkuu Deception, mimi binafsi nimeshaanza kuzikusanya mbegu ya Apricot, nimeshawahi kuzila ila ni za uchungu balaa ila ninachotaka kufanya ni kuzisaga na kuzitengeneza vidonge kwa kuchanganya na asali.
Hapo juu nilikuwa nawakumbusha watu walioanza kutoka nje ya mada husika na kujadili mengine.

Pamoja
 
Offcoz watazitafuta sana hizi thread. Wewe fikirikia mtu yuko desparate . Ana kansa. Hata nauli ya kwenda hospital kufuatilia tiba hana. Why asitafute mambegu ya maparachichi na mihogo mibichi. Na mambegu ya ma peachez na nyundo yake na koleo. Na juice za nichicha na mibangi. Maana hayo mavitu hata kipimo hayana

Hahahahahaha kaka acha tu.....kuna mjinga mwingine eti na yeye kaanzisha thread anasema chanjo wanazopatiwa watoto ni mpango wa wazungu kutuangamiza....jinga kama hilo linatembea na kutype kwa sababu tu mama yake alimpiga chanjo ya polio...nilipoiona hiyo thread kidogo nianguke kwa stress aisee....
 
Mashine moja ya mionzi iitwayo linear accelerator serikali imegharamia pesa za kitanzania shilingi bilioni 4.5,pamoja na gharama yote hiyo bado haina uwezo wa kutibu cancer zaidi ya kutuliza dalili na kuwasababishia wagonjwa cancer mpya. Hapa ndipo utakapoona kwamba cancer ni biashara na kamwe huwezi kuja kusikia wanatangaza tiba ya cancer kwenye vyombo vya habari katika vizazi vya hivi karibuni. Kumbe tiba za cancer zinatunguka kwenye mazingira yetu bila kujijua.Ukosefu wa maarifa unaangamiza sana watu.

Pale Ocean Road taasisi ya cancer ukiangalia nje utaona mabango mengi sana na mojawapo ya mabango hayo ni lile la taasisi ya afya ya Marekani ambayo pia imeweka ofisi pale.Kwa mtazamo wa kawaida unaweza kufikiri kwamba wanatupenda sana ndio maana wameweka ofisi pale ya kufanya uangalizi,la hasha,sivyo hivyo.

Wanachokifanya pale ni kutunza biashara yao ili isiingiliwe.Kama kuna jambo lolote ambalo ni hatarishi kwenye biashara yao hulicukulia hatua mapema sana,kama watagundua kuna tiba mbadala ya cancer inapigiwa chepuo basi wanai suppress haraka sana ikiwezekana hata kuua wanaua.

Na pia wapo ili kuendeleza kampeni zao kuhusu cancer kama vile kufanya matembezi ya cancer ya matiti kwa wanawake nk.Sasa umeshawahi kujiuliza kwamba cancer ya matiti ina jambo gani special kulinganisha na cancer nyingine?

Wanaturubuni akili zetu ili tuone kwamba cancer zinatofautiana vyanzo vyake na tiba zake.Hivyo kuhusu cancer ya matiti,wanajifanya wanawapenda saaaana wanawake wetu ndio maana wanafanya matembezi special ya cancer ya matiti.Kumbe cancer zote zina sayansi sawa na tiba sawa.

Hebu tuzinduke,huu ugonjwa sio special kama tulivyodanganywa,cancer ni ugonjwa rahisi sana kuutibu hata kuliko malaria. Ukitibu cancer kwa kutumia naturopath pia utakuwa umetibu hata magonjwa mengine mwilini ambayo huyajui na ni sugu,kwa sababu naturopath cancer cure is total body cleanse and rejuvenation. Huwezi tena kupata kisukari,autoimmunity,AIDS nk.

Hivyo ndivyo mambo yalivyo.

Ubarikiwe mkuu Deception Asante sana kwa elimu yako ya bure lakini inayotufungua fahamu zetu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha kaka acha tu.....kuna mjinga mwingine eti na yeye kaanzisha thread anasema chanjo wanazopatiwa watoto ni mpango wa wazungu kutuangamiza....jinga kama hilo linatembea na kutype kwa sababu tu mama yake alimpiga chanjo ya polio...nilipoiona hiyo thread kidogo nianguke kwa stress aisee....

Wakuu nafikiri argument hapa ni hoja kwa hoja ukianza matusi ni dalili ya inferiority complex, yawezekana ukamwona mwenzio ni jinga ila ni vema kuchangia kwa hoja ili wengine wapambanue jinga na akili ni nani : Mtoa mada hajasema utumie bila vipimo, bali soma uelewe na uchukue hatua. haijasema ureject dawa zote za hosp . Je mmesoma na kusikiliza hiyo documentary? Je mna scientific argument za kupinga hoja kwa hoja? Mind you pamoja na usomi wako kuna wengine humu wako vizuri tu na kuandika herbal medicine haimaanishi wameishiwa au ni fukara- maana ukibisha tu ni sawa na ubishi wa dini ambao hauna mwisho.

Tuendelee kukosoa/ kuchangia kwa hoja na sio matusi
 
Mi namshauri Mkuu Deception akimaliza somo la magonjwa yote sugu,aingie na kwenye ugonjwa sugu mwingine wa Umaskini.

Inawezekana tiba mbadala yake ipo pia maana shule haijasidia,dini haijasaidia,ccm ndio kama hivyo.........yaani ni tabu tupu,tunarithishana tu vizazi na vizazi.
 
Kama nilivyosema punde kwamba cha msingi,ili mada/uzi uwe na maana,inabidi kila mtu awe anajua kama leo hii yeye au ndugu yake akipata cancer atafanya nini,hapo ndipo uzi utakuwa na maana.Siwezi kuelezea tiba zote zilizo orodheshwa hapo kwenye uzi kutokana na muda,lakini cha msingi inabidi muelewe kile nilichokwisha elezea, na vile ambavyo nilitaja tu bila kuelezea inabidi mvifuatilie wenyewe dozi yake ikoje.

Kuna link nyingi sana zimeshatolewa na unaweza kutumia ujasiri wako wa kutumia mitandao au hata kuuliza maswali specific.Kwa mfano mdau mmoja napoteza alishazungumzia tiba iliyomtibu baba yake inayojumuisha mambo mengi ambayo mimi nimeshayataja,sasa mnaweza pia kumuuliza hata mkuu napoteza jinsi ya kutumia tiba zile.

Pia nikieleza kila nilichokiandika ninaweza kupunguza wigo wa watu kujishughulisha kujua zaidi.Lakini nadhani nimeshaeleza vya kutosha,labda kama kuna maswali machache kuhusu yale niliyokwishaeleza,lakini vinginevyo tujitahidi kudadisi zaidi na hizo tiba nyingine.Ila hakikisha uzi huu haupiti bila ya kuelewa hata tiba moja ambayo unaweza kuitumia endapo utapatwa na tatizo hili,hapo ndipo uzi utakapokuwa na maana.
 
watu ambao hawajaelimika, sanasana waafrika wanakufa kwa speed sana sababu ya vitu kama hivi, ulichoandika hapo juu hakina ukweli wowote! kusema pharmaceutical industries zinafaidika sana ndo sababu wanaziba ukweli kuhusu treatments ni uongo mtupu.

Mkuu unajua kweli hata process ya cancer ilivyo? tatizo moja la mtanzania akiambiwa tu kua achana na hizo dawa za wazungu zina madhara, tumia hii ya asili anarukia fasta, tena kudanganywa zaidi anaambiwa watu wengi wametumia wakapona, anakomaa nayo mwisho wa siku anakufa..

Kama una cancer, pitia tu hizo options ambazo ni bei kubwa, huna option nyingine hadi pale cure itakapopatikana, yaweza kua kesho, ama kesho kutwa ila itabidi usubiri tu. Njia nyingine zote endelea kupoteza muda mwisho wa siku uifanye iwe worse tukuage, cancer kwenye first stages inatibika kirahisi tu, ila mnavoendekeza njia za asili inakua inafika stage inakua haiwezi kua controlled tena..

Ningekua admin wa jf post kama hizi ningefuta sababu ni za uongo mtupu, zitaua watanzania maana wao ni mstari wa mbele kuamini kila wanachosoma kwenye internet

Mkuu hebu jaribu kujiuliza, Kwanini magonjwa ya Kansa yanaua sana Ulaya na Marekani(Nchi zilizoendelea) ukilinganisha na Afrika ambako tunadanch kwa Ukimwi na Malaria. Jaribu kutumia logic kudadisi hilo swala then unaweza pata kitu.
Nmuamini mtoa Maada
 
mkuu Deception naomba unipe ufafanuzi juu ya matumizi ya hiyo black seed oil(mafuta ya habbat sauda) kama tiba ya saratani
Nilikuwa namaanisha niitumie vipi ili iwe tiba?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom