Hi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Jamani tumevamiwa humu na vilaza hivi huyu nani kamleta? Sasa hiki ndo nini hivi umeushirikisha ubongo wako wakati unapost? MA..SA,BURI ni kwa kazi ya kukalia sio kufikiri.
 
Mimi nadhani sheria za jf zina haja ya kutafsiriwa kwa kiswahili na ikiwezekana nyingine ndogondogo ziweke za kuwakomesha watu kama hawa.
 
mi namrepoti apigwe LIFE BAN ku***vu..mi sielew hawa watu wametokea wap??? si wakajitambulishe huko kwenye jukwa la kujitambulisha!!!!
 
Hahahahaah!! Mods. wameshafanya kazi yao, kaletwa jukwaa la utambulisho.
 
jamani,ugeni unamsumbua msameheni labda ni F6 wa mwaka huu kaja kuangalia section.
 
Duh, mtoto akinyea mkono hauukati jamani kuweni wapole na mumueleweshe endaikawa kakosea njia au hajui kabisa.
 
Jamani tumevamiwa humu na vilaza hivi huyu nani kamleta? Sasa hiki ndo nini hivi umeushirikisha ubongo wako wakati unapost? MA..SA,BURI ni kwa kazi ya kukalia sio kufikiri.

Hivi wewe ni GT kweli? Mueleweshe, bado mgeni. Kuwa mstaarabu.
 
Back
Top Bottom