Hi imekaa je? Je ni wasomi wanaitwa watoto?

Mboja

Senior Member
Sep 29, 2010
157
23
Mwenyekiti huyo wa Jukwaa la Katiba alisema mchakato wa utoaji wa maoni ndio msingi wa kupata katiba bora hivyo ni vema michakato hiyo ifanyike kwa amani, usalama na utulivu ili kuepuka yaliyotokea awali hata kusababisha baadhi ya vyama kujaza watoto wadogo katika ukusanyaji wa maoni ya Katiba mpya.

Wana Jf nina swali. Huyu jamaa anapo sema hivi, anamaanisha watoto wadogo ni wasomi wa vyuo vikuu? Na kama ndio maana yake tutafika kweli kwenye kuunda katiba inayo kidhi haja ya wa Tanzania wote? (Vijana ndio nguvu kazi ya Taifa!) Wazee wanalijua hilo?
 
Mkuu ulikuwa wapi kwani wewe hukuwaona wale watoto wa chekechea na praimari waliopelekwa Karimjee afajiri ya siku ileee!!
 
Nao pia ni wa Tanzania, Ni chama gani kilipeleka watoto? Maana ccm ndio mahodari kukusanya watoto kwenye mikutano yao? Labda na hapo pia.
 
Back
Top Bottom