johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,721
- 143,173
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amesema kwa muda mrefu Dunia imekuwa ikidanganywa kuwa Israel ndio Yenye Jeshi Bora kuliko yote Duniani na hivyo Dunia nzima iliishi ikiwaogopa sana Wayahudi
Lengo kuu la Hamas lilikuwa ni kuonyesha Dunia nzima kwamba Israel ni Waongo na IDF ni Jeshi Dogo kama mengine huko Africa
Pili, Hamas walitaka kuwafumbua macho Wayahudi wote juu ya udhaifu wa Serikali yao na Jeshi lao Ili wasiendelee kudanganywa
Hezbollah wamesema Hamas wametimiza malengo yote mawili kwa 100%
Source Al jazeera news
Jumaa Mubarak 😄