HESLB inanipa wakati mgumu wanajamvi

Duh, mwisho utaambiwa utumie desktop na sio laptop....System za Bongo hizo......
 
poa ndugu

Nafikri leo utakuwa umefanikiwa sasa!!.

Mimi ya kwangu imekubaliwa na nimefanikiwa kukamilisha mchakato. Nilituma fedha siku ya Jumamosi ikawa haikubaliwa tangu siku hiyo lakini leo nimejaribu mara 1 tu ikaitika.
 
yah tanx ndugu zangu nimefanikiwa,na kwa ushirikiano huu ndipo tutaendeleza Tanzania yetu
 
Na mimi kupitia uzi huu nimefanikiwa kujaza form baada ya kuangaika sana toka ijumaa..shukrani sana kwa wote, na idumu JF
 
mm bado wakuu, nlichofanikiwa kwasasa ni self register tu! zen nkaletewa fomu ya self registration for freshers(fom 4 afta 1987) nkaijaza na kusubmit baada ya hapo cjapewa username na passwords za kulogin. Msaada plz.
 
Natoa shukrani kwa wanajamvi kwani kwa mawazo mlonipa nimefanikisha usajili
​
 
mm bado wakuu, nlichofanikiwa kwasasa ni self register tu! zen nkaletewa fomu ya self registration for freshers(fom 4 afta 1987) nkaijaza na kusubmit baada ya hapo cjapewa username na passwords za kulogin. Msaada plz.
User name ni ile namba uliyoformat kulipia mpesa...na password ni ile uliyoingiza wewe mwenyewe...
 
Hebu nitumie PM hizo Transaction ID na namba ya form 4 na mwaka uliomaliza ili nikujazie !!
 
Back
Top Bottom