Heshima kwa wanaume wanaotimiza majukumu yao

Ila MWANAUME kuwa makini sana kumfanya rafiki kwa maana atakuwa rafiki mwema kwa target, akishakugegeda tuu na uhasama utaanzia hapoa au akishagundua kuna njemba inayokugegeda na unailewa ipasavyo mgegedo wake kaa ukijua urafiki wenu punde utavunjika!!!
Sio wote.
 
Hongera a to to kwa maneno ya kutia mojo kwa wanaume,kiukweli mwanaume wa kweli ni lzm atomize majukumu yk ipasavyo na mwanamke wa kweli ni yule anayemsaidia kumtia moyo kwa kushukuru hata kwa kdg na kumpa maneno mazuri ya faraja,SK zt utatamani kuishi na mwanaume wa aina huyo,ubarikiwe sana atoto
 
Wanaume wa hivyo wapo tena wengi mie kazini kampani yangu ni wanaume kwanza

Hawana majungu majungu muda wote mambo ya msingi au Mpira

Pili hawanaga vinyongo hata watakwazana wataongea kama kawaida

Tatu wananifanya kama Dada yao wananipenda sana tu yaani hata nikifulia sina nauli ntafka kazini ntakula na watanipa walichonacho....

Nne wanaume bwana wao tofauti sana ukiwa na rafiki wa kiume ukamuambia mambo yao au tatizo lolote basi jua limefika sehemu sahihi atatunza siri yako kwa moyo mkunjufu.

Na kama mmeo au mpenzi wako ukimfanya rafiki utaenjoy aisee utakua na amani,furaha na tabasamu muda wote!


Mungu awalinde wanaume wote wanaojielewa na kutambua majukumu yao!!


Ameen
 
Back
Top Bottom