Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
SECTION A
Hivi kama ni kweli wanawake ni wengi kuliko wanaume (five women per man), nyumba ndogo zitaisha? Changudoa's wataisha?
******
SECTION B
Wimbi la wanaume kuchelea au kutokuoa lina uhusiano na wimbi la machangudoa kuongezeka?
Kwa nini wanaume hawajiuzi kwa wanawake (kama wapo its just negeligible) kama ilivyo kwa wanawake kujiuza kwa wanaume?
*****
SECTION C
Kuna scientific proof yoyote about perception kwamba mtu akiruka hatua flan katika ukuaji (mathalan hakucheza kombolela) anakuja kufanya ukubwani?