Heri ningezaliwa nchi nyingine

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Wanajf, ninauchungu sana kuona jinsi TZ Kikongo na manyanyaso tunayofanyiwa wanasema ni nchi ya amani lakini sio kweli ni utulivu tu.
Na Wa TZ walivyombumbu ndiyo nchi inazidi kudidimia, uonevu manyanyaso ufisadi Wa waziwazi tumekaa tu na kuangalia tu.
Watu Wa magamba ndiyo kabisa wanazidi kutokomezwa na kudanywa
 
Watu Wa magamba ndiyo kabisa wanazidi kutokomezwa na kudanganywa huku wakishabikia wasichokijua wamefanywa kuwa Kama punda Wa kutumikishwa.
Ee Mungu tuhurumie Wa TZ.

Hujachelewa hamia Ruwanda, ulaya cku hizi hawataki wazamiaji
 
Wanajf, ninauchungu sana kuona jinsi TZ Kikongo na manyanyaso tunayofanyiwa wanasema ni nchi ya amani lakini sio kweli ni utulivu tu.
Na Wa TZ walivyombumbu ndiyo nchi inazidi kudidimia, uonevu manyanyaso ufisadi Wa waziwazi tumekaa tu na kuangalia tu.
Watu Wa magamba ndiyo kabisa wanazidi kutokomezwa na kudanywa

Wewe umezaliwa katika hali hiyo ili uwakomboe hao mbumbumbu. Mungu anamakusudi makubwa na wewe katika nchi inayoitwa Tanzania. Kwa hiyo tafuta ufumbuzi wa matatizo siyo kuleta hadithi za abunwasi.
 
wenzangu mliochangia mumewezaje kuelewa, mimi imenishinda kabisa hapo penye red
 
Jipe moyo mpiganaji - stop wishing

mark you - "Quitters never win and winners never quit"

Madudu ni mengi ila yasikufanye uikimbie nchi yako. Nchi hii ni yetu -fight on!

USHINDI NI HAKIKA
 
Wewe umezaliwa katika hali hiyo ili uwakomboe hao mbumbumbu. Mungu anamakusudi makubwa na wewe katika nchi inayoitwa Tanzania. Kwa hiyo tafuta ufumbuzi wa matatizo siyo kuleta hadithi za abunwasi.

Nashukuru majibu yako yanafanana na niliyotaka kumjibu, asante lincoli
 
Hujachelewa hamia Ruwanda, ulaya cku hizi hawataki wazamiaji

Aaa!ushauri mbaya huo anatakiwa akabiliane na changamoto zote asikimbie matatizo!kama wote tutakimbia nani ataliokoa taifa hili?we must stay united dhidi ya ufedhuli wa namna yoyote!tumetoka mbali..kumbuka kipindi cha EL kutoka PM mpaka mbunge wa kawaida,AC kutoka miundo mbinu,Afrika mashariki mpaka ubunge wa kawaida.Sasa hivi kuna uvuaji wa magamba,hizo ni hatua kuelekea ukombozi wa kweli..
 
pole mkuu, hii ni nchi ya ajabu ambayo haina plan wananchi hawachallenge chochote wanavuna wakoloni mamboleo tu kwa jina la wawekezaji, nchi haina hata plan za miaka mitano ijayo, hakuna kipaumbele, wala mkakati...wanafanya maigizo tu kufuja pesa za umma. Rejea mizengwe ya richmond, dowans, symbion power na migao isiyokwisha tanesco, madudu ya bot na mof ati fedha zinabadilishwa bila kuwa na lengo ili mradi watu wapate mwanya wa asilimia 10 mbona mpaka ss pesa zote zinatumika, report ya cag bot ati ukarabati wa jengo jipya bil 2, kupga picha mil 200. Michezo kibao inaendelea kila sekta...barabara mbovu kila kona, migodi yote tumewapa makaburu na wazungu. ****** yupo bize anapiga world tour tu, wanaomsaidia bize trip za loliondo kurecharge! Hv hii nchi itakaa iendelee rushwa waziwazi kila ofisi, kujuana ndio usiseme...maskini tz, mkuu jipange na ww upate kitengo ujichotee hutafanywa lolote, ila usimess na wakubwa tu. Me najipanga kuhamia nchi fulani hvi ambayo wanathamini watu. Nitarudi uzeeni kuja kufia hapa koz ndio asili yangu.
 
..........tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote,
nchi yangu tanzania jina lako ni tamu sana.......???

updates missing. the song nowadays is a threat virus
 
hujachelewa, basi kazalie watoto libya,ama kongo, ama sudani ama somalia ili watoto
wako wasije kuwa na mawazo kama yako
 
Nimesikitika sana kuona majibu ya wengi katika swala hili zima. Nikitu nime observe for a long time lakini nimeshindwa kabisa kujua wapi hili tatizo litatatuliwa.
Ni kweli kabisa nchi yetu iko na shida kuanzia uongozi hadi utendaji. Ni kama vile everybody is on their own and just too bad for those who can't reach there.

Wawekezaji wanafanya wanavyotaka and get away with everything, viongozi wetu tuliowaamini na kuwachagua ndio wanaongoza kwa maovu lakini all the same yanaishia na sisi kama wananchi tumebaki kuongea tuuuuu,kwenye mabaa, daladala, nyumbani halafu no action. Hata maofisini watu wanalalamika lakini hamna mwenye kifua cha ku step up and stand for what u believe. Huo ni unafiki na cowardness. Tunaenda wapi?
 
Back
Top Bottom