Heri kura yangu iharibike kuliko kumpigia Samia

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii, sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Hivi nye wanachama wa CCM hamwoni ugumu wa maisha? Au majumbani na kazini kwenu mna majenereta? Na bado mnasifia uongozi wa mama na hawa mawaziri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike , Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii,sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Wanaibaaaaa zoote hapo ndio shida
 
Naendelea kuwapa darasa ndugu jirani marafiki mjini na vijijini juu ya umuhimu wa kumpa kura Dr. Samia suluhu hassan,mpaka sasa ninauhakika kwa hamasa yangu ccm wanakura 200+
 
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike , Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii,sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Hivi nye wanachama wa CCM hamwoni ugumu wa maisha? Au majumbani na kazini kwenu mna majenereta? Na bado mnasifia uongozi wa mama na hawa mawaziri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu mama sio raisi!!!! Ni mshehere shaji kwenye nchi hii...... na hayupo kwaajili ya wananchi
 
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike , Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii,sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Hivi nye wanachama wa CCM hamwoni ugumu wa maisha? Au majumbani na kazini kwenu mna majenereta? Na bado mnasifia uongozi wa mama na hawa mawaziri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
kumpigia ama kutokumpigia mtu fulani kura ni uhuru na ni uamuzi wako....

changamoto binafsi zitafutiwe namna binafsi ya kuzitatua bila ghadhabi wala gubu....

mihemko na lawama binafsi dhidi ya wasiohusika kwenye natatizo binafsi sio suluhisho, japo kuna relief kidogo moyoni...

fanya bidii, usikate tamaa kijitafuta...
 
Pole sana

images - 2024-02-18T085102.275.jpeg
 
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii, sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Hivi nye wanachama wa CCM hamwoni ugumu wa maisha? Au majumbani na kazini kwenu mna majenereta? Na bado mnasifia uongozi wa mama na hawa mawaziri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kwani Kuna shida Yako ikiharibika? Wala haiwezi Kuzuia yeye asiwe Rais Hilo ndio la msingi.

Sijawahi chagua ccm na wengi humu wanadhani Mimi ni ccm ila this time nitakuwa wa 1 kwenye foleni kura Kwa saa 💯✓✓✓

Nina sababu Milion za kumchagua Samia.
 
Nchi imevaa dera kwa kweli. Saivi heri kura yangu iharibike tu maana upinzani pia sitokaa niwape kura yangu.
 
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii, sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Hivi nye wanachama wa CCM hamwoni ugumu wa maisha? Au majumbani na kazini kwenu mna majenereta? Na bado mnasifia uongozi wa mama na hawa mawaziri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona Mangungu ulimpigia kura huku akiwa amekudanganya asubuhi kweupe kwa kukuletea Manzoki ili tu akusalimie kwenye ule uchaguzi wenu uliopita!
 
Halafu tunakuja na zile hekaya tumeibiwa kura.

Shida kuu sio CCM ni option B ambayo haipo.
 
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani wanapenda sana mizaha na kuzurura hawajawahi kuwa serious.

Mawaziri wake waongo waongo tu na wasanii, sukari hadi leo halijashuka, naibu waziri wa nishati alisema mgao mwisho februry 16, halafu wanakuja kusema siyo February ya mwaka huu.

Hivi nye wanachama wa CCM hamwoni ugumu wa maisha? Au majumbani na kazini kwenu mna majenereta? Na bado mnasifia uongozi wa mama na hawa mawaziri wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kidumu Chama cha Mapinduzi.

Kwanini Chama cha Mapinduzi kwa kifupi wasingejiita CcM ama CM?
 
Sawa kwani Kuna shida Yako ikiharibika? Wala haiwezi Kuzuia yeye asiwe Rais Hilo ndio la msingi.

Sijawahi chagua ccm na wengi humu wanadhani Mimi ni ccm ila this time nitakuwa wa 1 kwenye foleni kura Kwa saa 💯✓✓✓

Nina sababu Milion za kumchafua Samia.
Hebu sema kwa sauti! Una sababu milioni za 🗣️ kumchafua nani?
 
Back
Top Bottom