Here is USA army force Vs RUSSIA army force

kwa iyo kayaweka ndani kama mapambo au?
Katafute kitu kinaitwa kinaitwa TRIDENT missile ambayo ni SLBM.... Hyo kitu ilkua inawekwa warheads mpk 12 had warus wakaogopa wakawekeana mkataba na USA wapunguze idad ya warheads mpk sasa hv zinawekwa 8-4 kwenye One missile... Ktu kinaenda kwa speed ya 21600km/h
 
utachelewa sana kujua wewe.SLBM ni makombora yanayorushwa kutoka kwenye submarine na uzito wake hauzidi tani 60.sasa utafananishaje kombora la kutoka kwenye silo na kombora la kutoka kwenye submarine?.iyo Trident ina uzito wa tani 60 wakati SS 18 satan ina uzito wa tani 209 sasa wapi na wapi
 
Yote hayo ni makombora sema yanatofautiana njia za jins ya kuyaLaunch mfano yanaweza kurushwa from Bombers,submarines and silo.... Sasa sijajua what's ur point hpo
 
yote yanarusha makombora ila uwezi chukua mombora kama Rs 36 ukarusha kutoka kwenye submarine.kombora linalorushwa kwenye silo linakuwa ni heavy weight ndo unakuta kombora lina uzito wa tani 209 na 20 kilotons of TNT
 
maana yake atayerusha makombora 10 ya trident ni sawa na atakayerusha kombora 1 la Rs 36.sasa hapo kuna usawa kweli
 
Hyo point yko ya 10:1 sidhan km ni saw a maaana kinachoangaliwa sio uzito Bali ni material zilizotumika kutengeneza hilo kombora maaana ht hyo Trident inaweza kuwekwa warheads 10 na RS warheads mpk sijui 15
 
maana yake ndo hii
 
Attachments

  • 1474870246373.jpg
    1474870246373.jpg
    28.4 KB · Views: 48
Hyo point yko ya 10:1 sidhan km ni saw a maaana kinachoangaliwa sio uzito Bali ni material zilizotumika kutengeneza hilo kombora maaana ht hyo Trident inaweza kuwekwa warheads 10 na RS warheads mpk sijui 15
nafikiri utakuwa umeelewa namanisha nini
 
Attachments

  • 1474870388550.png
    1474870388550.png
    31.3 KB · Views: 46
yote yanarusha makombora ila uwezi chukua mombora kama Rs 36 ukarusha kutoka kwenye submarine.kombora linalorushwa kwenye silo linakuwa ni heavy weight ndo unakuta kombora lina uzito wa tani 209 na 20 kilotons of TNT
Watu MNA data kuhusu Millitary weapons
 
Katafute kitu kinaitwa kinaitwa TRIDENT missile ambayo ni SLBM.... Hyo kitu ilkua inawekwa warheads mpk 12 had warus wakaogopa wakawekeana mkataba na USA wapunguze idad ya warheads mpk sasa hv zinawekwa 8-4 kwenye One missile... Ktu kinaenda kwa speed ya 21600km/h
Kasome historia chanzo cha mkataba. Acha kutufanya hatujui
 
Back
Top Bottom