Sunguraaa
Member
- Mar 8, 2016
- 66
- 60
Wamarekani uongo wanaujua kuutunga na kuutangaza. Juzi tu hapa Brazil muogeleaji maarufu na mshindi wa medali kadhaa za Olympics-Ryan Lochte kaongopea dunia nzima eti majambazi waliwavamia tena na silaha na kuwapora vitu. Uzuri Wabrazil wakawaweka kati wenzake wakakiri kuongopa. Lochte mwenyewe karudi kwao bado watu wanamuona bingwa na yuko kwenye show ya kucheza na mastaa wa Marekani, hovyo kabisa. Tena msamaha wake ni sawa na hajakubali uongo mzito aliousema