Hepuka kula kemikali wakati wa kufanya mapenzi!

Aisee ni kweli nilishawahi fanikiwa kuona mikorogo inavyotengenezw salon moja hivi jamani ni hatari sana yaani midawa kibao ya ngozi inawekwa humo halafu ukifikiria ndio kama atalambwa shingoni unachoka kabisa. inabidi kuoga kabla ya tendo
 
Mtakulaje Caro light mwaka huu, jidaini na uzungu uzungu, imagine umejipigilia kitu chekundu kile mdomoni alafu jamaa analamba lips inabaki nyeupeee na hakuna sehemu alipotema lol! sisi tunaogea sabuni za kawaida kabla ya kumung'unyana na situmii mavipodozi I keep my self natural so baby anaishia kula jasho tu.
 
hatareeeeereeeee...... ndo maana rate ya wanaume ya kutangulia mbele ya hak kubwa kumbe dada zetu nao wanachangia kwa kiwango kikubwa..
 
Back
Top Bottom