Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Jul 18, 2012 #1 leo raisi mstafu wa afrika kusini Nelson Mandela anatimiza miaka 94.. utaratibu wa kusherekea ni kutumia dakika 67 kuitumikia jamii...
leo raisi mstafu wa afrika kusini Nelson Mandela anatimiza miaka 94.. utaratibu wa kusherekea ni kutumia dakika 67 kuitumikia jamii...
Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Jul 18, 2012 Thread starter #2 67 ni miaka aliyotoka nayo alipokuwa gerezani takribani miaka 27iliyopita.
M MgungaMiba JF-Expert Member Aug 28, 2011 999 815 Jul 18, 2012 #3 Vasco da Gama wetu safari hii haendi? Au anahofia hizo Dakika 67 za kutumikia jamii?
Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Jul 18, 2012 Thread starter #4 MgungaMiba said: Vasco da Gama wetu safari hii haendi? Au anahofia hizo Dakika 67 za kutumikia jamii? Click to expand... kule hakuna bata ni kuitumikia jamii sasa yeye alishazoea mvinyo, bata na mademu..
MgungaMiba said: Vasco da Gama wetu safari hii haendi? Au anahofia hizo Dakika 67 za kutumikia jamii? Click to expand... kule hakuna bata ni kuitumikia jamii sasa yeye alishazoea mvinyo, bata na mademu..