Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
msanii wa tanzania Hemedi PHD amejivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa tanzania 32 tena bila kinga,ayo maneno ameyasema mwenyewe hemedi kwenye maojiano na mwandishi wa blog moja maarufu apa tz.
anasema yeye anajiita PHD sababu ya kulala na hao mabinti mastaa 32 wa tanzania.
maoni yangu: kumbe wakati watu wengine tukijisifu mafanikio ya kuishi maisha bora,kumbe kuna watu wanajisifu kwa kulala na mabinti wengi,mi kwa upande wangu naona huo siyo ujanja,mwanaume asifiwi idadi ya wanawake aliolala nao,bali anasifiwa kwa kazi na mafanikio aliyopata