Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,833
21,466
Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.

1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
16. Balozi wa Tanzania- Zimbabwe, Siro, mabalozi wa Tanzania, Kuwait, Uingireza,FALME Za kiarabu, Germany, Japan
17. RC arusha
18. RC Tabora
19. RC Rukwa _ Makongoro Nyerere 20. Naibu Waziri wa mambo ya ndani
21. Naibu Waziri wa afya- Dr Mollel
22. Waziri wa katiba na Sheria
23. Waziri wa biashara na uwekezaji
24.RC Singida
25. Dc korogwe
26. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco
28. Mkurugenzi wa TPA- bandari
29. Waziri wa ardhi : Angelina mabula eti PhD 😂
30. Waziri wa maliasili na utalii ( mkwe wa Maza).
31. Nape Moses Mnauye
32.Ongezea hapo na Wewe ——-
 
Mkuu wa mkoa hajui kuwa kituo cha afya hakina barabara? Hadi katibu mkuu aje akutane na zali?

RAs mkoa wa iringa hajui kituo hana Daktari?

DED Mafinga hajui kituo hakina Daktari?

DMO Iringa amekufa au ni mtoro? Hajui kituo hakina Daktari?

Ccm ni janga kwa Kweli
 
Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.

1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
Hapo Namba moja umepatia kabisa! huyu Halima Dendego ni Zero kabisa. Uwezo wake wa kiuongozi ni Mdogo sana kuchwa kutwa ni kutengeneza madili yake ambayo hayazingatii Procurement na Financial controls hivyo kuwapa wakati mgumu watendaji kwani yatakuwa chanzo Cha hoja za ukaguzi.Sishangai kumbe ndo maana mwendazake alimpiga chini u- RC huyu mama alipokuwa RC Mtwara
 
Hapo Namba moja umepatia kabisa! huyu Halima Dendego ni Zero kabisa. Uwezo wake wa kiuongozi ni Mdogo sana kuchwa kutwa ni kutengeneza madili yake ambayo hayazingatii Procurement na Financial controls hivyo kuwapa wakati mgumu watendaji.Sishangai kumbe ndo maana mwendazake alimpiga chini u- RC huyu mama alipokuwa RC Mtwara
Kila penye hiyo jinsia pana matatizo makubwa mnooo.
 
Hio orodha umeiandika namna kengeufu sana try be specific au unaogopa moderators watoto kwenye uchanganuzi wa maudhui
 
Kila penye hiyo jinsia pana matatizo makubwa mnooo.
Mie nadhani yule ana matatizo Binafsi na yupo shallow Wala siyo suala la jinsia yake.Palepale Iringa alikuwepo RC na RAS wa jinsia ya kike yaani Queen Sendiga na Happyness Seneda walikuwa wanaenda vizuri,hawakuwa walafi kama huyu Dendego make mpaka anajisahau Hadi yeye Binafsi kufanya kazi za manunuzi n k, pengine ndo anatekeleza slogan ya Chukua Chako Mapema
 
Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.

1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
Hivi wizara ya ardhi ina Waziri?
 
We km hujalewa basi ni mwehu, RPC anateuliwa na rais? Umeweka list ulitaka wateuliwe ndugu zako? We kweli ni kenge mwenye chuki za kipuuzi
 
Back
Top Bottom